Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Why apende kukaa na nyie while hampo like him ir why awe mnyonge mkiongelea such issues, do you know his story !. Do you think ni rahisi kwake!. I'm gay na sifanyi sex for money but reading this thread at this time of the night imeniumiza a lot
So you faggot?
 
Kwani SI nilikwambiaga[emoji23][emoji23][emoji23] nikaja Hadi kwenu tabata chang'ombe[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa!! Wee Iddy unachanganyaa files, mbona mie sio huyoo.

Ndo umesahau I'd yakee? Woiiiiiiih.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa!! Wee Iddy unachanganyaa files, mbona mie sio huyoo.

Ndo umesahau I'd yakee? Woiiiiiiih.
😂😂😂 Ni wewe bwana labda wewe ndio umesahau id yangu natumia I'd mpya Ile nilibadilisha majina😂😂😂
 
Ahh! *****!...

Huyo jamaa Lethergo nimeanza kuwa na wasiwasi nae kutokana na michango yake ya kuonesha wazi kwamba anatetea ushoga na kuanza kushindanisha kati ya wanawake Na wanaume. Nna wasiwasi na huyo jamaa unayejibizana nae ndugu Labella kama sio shoga huyo aliyejificha nyuma ya keyboard Na kujifanya msamaria basi atakuwa lesbian au basha. Maana hadi comments za huyo shoga jamaa ana-like.

Mwanaume mwenye akili timamu hawezi kutetea mada za namna hii, huyo atakuwa shoga pia! Usimjibu
Lethergo ya kweli mkuu?? 😹
 
Imethibitika kisayansi kuwa sehemu inayotoa kinyesi ndio inamaambukizi mengi ya maradhi ya ngono. Wote anaye fanya na anaye fanyiwa wapo kwenye hatari kubwa sana ya maambukizi ya vvu, gonoria, kaswende n.k
 
Kama baadhi yenu wana jamii kama wewe mnatia vikwazo kwamba hayawezekani basi hilo ni tatizo lako binafsi kama mzazi. Binafsi naamini organisation ya kwanza ni familia kabla ya taifa. Wazazi wakisimama vizuri familia inakuwa salama labda itokee tu mara chache kwa wanaokengeuka manaa binadamu hubadilika lakini majority family background ina affects life kwa watoto. Wazazi tutimize wajibu wetu tuache visingizio visivyo na msingi.
Tema mate chini, hakuna mzazi anayependa mtoto wake awe shoga au kahaba.!
Hao watu wahoji vizuri wakwambie wanatokea familia gani?
Malezi ni Mungu mwenyewe analinda wazazi ni waongozaji tu.!!
 
Tema mate chini, hakuna mzazi anayependa mtoto wake awe shoga au kahaba.!
Hao watu wahoji vizuri wakwambie wanatokea familia gani?
Malezi ni Mungu mwenyewe analinda wazazi ni waongozaji tu.!!
Tuwaongoze vyema mengine tumwachie Mungu.
 
Umeanza lini kuogopa ugomvi? Yani wewe uogope kugombana? Hii sio kweli.!!

Tena una uzi uliniponda kweli mshkaji wangu.!! Dah.!!
Nimefunga Novena siku 9 sitaki kugombana ovyo Mkuu subiria nimalize Novena kwanza nikiwashe

Ila Wewe huna Mume?
 
Nimefunga Novena siku 9 sitaki kugombana ovyo Mkuu subiria nimalize Novena kwanza nikiwashe

Ila Wewe huna Mume?
Mxieeeeww 😂😂😂
Wa kufunga novena hapo yuko wapi??
Novena tuachie wenyewe tunaofunga 3 kavu. Hapa ss hivi naenda kumalizia zile 9 zilizobaki.

Mume ninaye na tuna watoto sita, we huogopi?? 😹
 
Back
Top Bottom