Franky
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 2,270
- 2,844
Mimi mwenyewe nimeamua kuipotezea hii kahawa. Eti kwa sababu sijawahi experience kuwa shoga basi sitakiwi kuwa judge kwa maamuzi yao ya kuwa mashoga, what a punk! Yani inabidi uwachukie majambazi if and only if ushawahi kuwa jambazi! Hii si punga in a closed wardrobe!Ahh! *****!...
Huyo jamaa Lethergo nimeanza kuwa na wasiwasi nae kutokana na michango yake ya kuonesha wazi kwamba anatetea ushoga na kuanza kushindanisha kati ya wanawake Na wanaume. Nna wasiwasi na huyo jamaa unayejibizana nae ndugu Labella kama sio shoga huyo aliyejificha nyuma ya keyboard Na kujifanya msamaria basi atakuwa lesbian au basha. Maana hadi comments za huyo shoga jamaa ana-like.
Mwanaume mwenye akili timamu hawezi kutetea mada za namna hii, huyo atakuwa shoga pia! Usimjibu