Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Ushoga ni maamuzi inakuwaje mwanaume uvue nguo uiname hadi dudu liingie hapo umeamua mwenyewe..wadinyaji wengi hushawishiwa sio makosa yao wao ndio wanaingizwa kwenye ubasha.
Narudia tena kwanini wasikatae? Ushoga utaisha vipi ikiwa mabasha wapo? Au walaji wa hao mashoga? Usitake kutetea hapa.

Kwahiyo kila anae shawishiwa anakubalii, kukataaa aaah?
 
Kijana anaweka rehani JICHO lake alafu wewe unasema anapenda vya bure mkuu ?

Au unadhani kuliwa jicho ni kazi ndogo ?

Wana moyo sana hawa watu wanaoweka rehani macho yao,kazi yao ni ngumu bora nikabebe zege.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mnachekesha nyiee, Woiiiiiih
 
Vijana hawapendi kufanya kazi ila wanataka kustarehe
 
Narudia tena kwanini wasikatae? Ushoga utaisha vipi ikiwa mabasha wapo? Au walaji wa hao mashoga? Usitake kutetea hapa.

Kwahiyo kila anae shawishiwa anakubalii, kukataaa aaah?
Ndio Kukataa ahaaahaa
 
= cooperate

Mama Samia ni walii, mcha Mungu sana, hakuna asiyemuamini, pia ni msamehevu na mstahamilivu sana, mpaka ayakoroge mara kumi au zaidi, tena kila unapokosea anaweza kukuelezea bila kelele wala kukutisha, kiutaratibu sana, unaweza kudhani unasifiwa kumbe unaaswa.
Wewe na samia nani mchamungu?
 
Kijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako wenyewe mnaita "KUCHANJA" Unapewa kilema cha maisha bila kujua.

MADHARA

1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na magonjwa mengine ya Ngono ni mkubwa (michubuko) maana sehemu ya haja kubwa haikuandaliwa kupitisha mizigo mikubwa na Manii yanabaki humo humo mpaka kuoza na bongo vilainishi marufuku.


2. Ukipata matatizo, hospitali za bongo utaambulia matusi na kunangwa huku unaoza,

3. Hao mabazazi watakuchekea wakufumue Tu hawana muda na wewe wakishakuharibu,

4. Nawajua vijana kadhaa kwa sasa inabid wavae diapers kuzuia haja kutoka bila taarifa.

5. Mmoja anaomba michango akatibiwe India, waliokua wanampapasa wanamkimbia. Michango tunaombwa watu Baki. Sio fair!
Umetoa ushauri mzuri sana Mkuu
 
Back
Top Bottom