Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Kijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako wenyewe mnaita "KUCHANJA" Unapewa kilema cha maisha bila kujua.

MADHARA

1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na magonjwa mengine ya Ngono ni mkubwa (michubuko) maana sehemu ya haja kubwa haikuandaliwa kupitisha mizigo mikubwa na Manii yanabaki humo humo mpaka kuoza na bongo vilainishi marufuku.

2. Ukipata matatizo, hospitali za bongo utaambulia matusi na kunangwa huku unaoza,

3. Hao mabazazi watakuchekea wakufumue Tu hawana muda na wewe wakishakuharibu,

4. Nawajua vijana kadhaa kwa sasa inabid wavae diapers kuzuia haja kutoka bila taarifa.

5. Mmoja anaomba michango akatibiwe India, waliokua wanampapasa wanamkimbia. Michango tunaombwa watu Baki. Sio fair!
Wanachuo
 
Yaani Mjulubege wangu niuingize kwenye inya??? nooooo noooo!

Ninapofanya kazi kuna vijana wanakuja kupigwa bomba balaa! Tena ukinikuta mie ndo utakoma....huu uchafu unipite tuuu!
 
Nafikiri kwenye hii tabia ya kinyume na maumbile, sisi wanaume ndio wa kulaumiwa, kwasababu sisi ndo tunawashawishi na kubembeleza wadada watugee tigo zao, Yani kama sisi wanaume tusingekua tunaomba tigo, sidhani kama kuna mdada angeingiliwa kinyume na maumbile Madame B Andrew123 Mzee wa kupambania mrangi
Tatizo sio kuingilia wadada tu kuna kama Puffy mafuta na watu kama Puffy kilainisho ni wengi sana
1000223132.jpg
 
Nafikiri kwenye hii tabia ya kinyume na maumbile, sisi wanaume ndio wa kulaumiwa, kwasababu sisi ndo tunawashawishi na kubembeleza wadada watugee tigo zao, Yani kama sisi wanaume tusingekua tunaomba tigo, sidhani kama kuna mdada angeingiliwa kinyume na maumbile Madame B Andrew123 Mzee wa kupambania mrangi
Wadada sahv kwenye pochi wanatembea na mafuta kabisa

Ova
 
Ila wewe, mie naogopa nitatoka nje ya mada bhana Balqior unajua JLW sahv limefutwa.... naogopa!!!
Nafikiri kwenye hii tabia ya kinyume na maumbile, sisi wanaume ndio wa kulaumiwa, kwasababu sisi ndo tunawashawishi na kubembeleza wadada watugee tigo zao, Yani kama sisi wanaume tusingekua tunaomba tigo, sidhani kama kuna mdada angeingiliwa kinyume na maumbile Madame B Andrew123 Mzee wa kupambania mrangi
 
Nafikiri kwenye hii tabia ya kinyume na maumbile, sisi wanaume ndio wa kulaumiwa, kwasababu sisi ndo tunawashawishi na kubembeleza wadada watugee tigo zao, Yani kama sisi wanaume tusingekua tunaomba tigo, sidhani kama kuna mdada angeingiliwa kinyume na maumbile Madame B Andrew123 Mzee wa kupambania mrangi
Hahahaa ila nao wanapenda ujue. Kuna wale wanakusikilizia ukiomba tu anakutunuku
 
Back
Top Bottom