Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

uzi ushavamiwa tayari, nyie mnaona raha ku left group, mnaona wanawake wanafaidi sana? kama ulikuwa hujijui dhambi ya kumkufuru roho mtakatifu, ndio hiyo, mtu kuwa gay, ni dhambi ambayo, ukinyemelea unabadilika mazima, huwezi kuwa normal tena.. maana ni kufuru.. tukisema tuokoke mnamkataa Yesu, aya shetani ndio huyo sasa... na kazi zake ndio hizo,,,... kumpinga Mungu na kuharibu watu..
 
Hii michezo ni mibaya Sanaa, ukianza huwezi kuacha ni addiction flani, nilishawahi ona documentary flani ya wale transgender, Yani mtu kafanya surgery yupo Kama demu kabisa ila huwezi amani ana mashine, ukikutana nae barabarani unaweza mtongoza kabisa kumbe ni dume mwenzio

Haya mambo yapo Sanaa huko Brazil, kwa miaka mingi na wanaona kabisa.
 
Thailand uwe makini
 
Back
Top Bottom