Kijana wa chipsi anahitaji!!

Kijana wa chipsi anahitaji!!

Kiby79

Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
95
Reaction score
136
Anahitajika kijana wa jikoni,

Awe mtaalam wa kupika chipsi, mishikaki, supu, na mazaga zaga yote kwa ujumla. awe mbunifu, sehemu ya biashara ni Tabata (Dar) ni kwenye bar.

Awe na nia na kazi sio msumbufu!!mimi nitakuunganisha na muhusika, mengine mtaenda kukubaliana mwenyewe, mimi ni mjumbe.
 
Malipo Bei gani, maana chips, supu na mazagazaga yote,, unazungumzia chef, huyo sio kijana wa chips
 
Malipo Bei gani, maana chips, supu na mazagazaga yote,, unazungumzia chef, huyo sio kijana wa chips
Hahaaa!!haja fikia level ya chef!! Akipataikana mi kazi yangu ni kumkutanisha na mhusika wakielewana sawa!
 
Back
Top Bottom