Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
Hapana ndugu, nilikuwa faster nikaona kazi kuvua kiatu.Nilichojua leo ni kwamba wewe ni sharobaro.
Ndio huku kwa rafiki yako mvua si ya kitotoMvua imenyesha Sana huko Town kwa DAB?
NAONA WAKO KIMYA SIJUI NDO WAKO SITE WANAITUMIA FURSA.
Leo pesa kila konani fursa kila kona, kuna wazee wa kutapisha vyoo nao wapo kazini muda huu -- ni neema tupu.
Sio kila kitu mnasema fursa tu.....Akitoka na magonjwa kama pneumonia nk hiyo 20k haina maana.Sijaandika huu uzi kwa lengo la kumkebehi mtu,
Dar kuna mifereji na mito mingi ambayo ikinyesha mvua kubwa kiasi tu inafunga mawasiliano kati ya watu wa huku na kule kwa dk kadhaa.
Unajitega unavusha masharobaro kwa jero, buku mpaka mia mbili. Usiache kichwa.
Jioni ukiingia mfukoni una 20.
Pesa ya kununulia bando na chai katika harakati za kusaka ajira.
Mimi leo nimevushwa kwa jero.
Kwa hiyo umebebwa mgongoni ? Kw mwanaume mwenzio alafu akakushika matako usianguke mgongoni ???Sijaandika huu uzi kwa lengo la kumkebehi mtu,
Dar kuna mifereji na mito mingi ambayo ikinyesha mvua kubwa kiasi tu inafunga mawasiliano kati ya watu wa huku na kule kwa dk kadhaa.
Unajitega unavusha masharobaro kwa jero, buku mpaka mia mbili. Usiache kichwa.
Jioni ukiingia mfukoni una 20.
Pesa ya kununulia bando na chai katika harakati za kusaka ajira.
Mimi leo nimevushwa kwa jero.
Tumeshakubeba hapa tunapata lunch kwa pesa zenu masharobaro alafu tunarudi mzigoni kuwavusha tena mkirudi.NAONA WAKO KIMYA SIJUI NDO WAKO SITE WANAITUMIA FURSA.
Kumbuka mimi ndiye nilikuwa nyuma yake hata kama alinishika matakoKwa hiyo umebebwa mgongoni ? Kw mwanaume mwenzio alafu akakushika matako usianguke mgongoni ???
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Kwa hiyo umebebwa mgongoni ? Kw mwanaume mwenzio alafu akakushika matako usianguke mgongoni ???
Sent using Jamii Forums mobile app
Niombe radhi mwenyekiti mstaafu wa CHAPUTA kanda ya kusini.Hivi itakuwaje akikuangusha ukioga mwili mzma. Faini yake ni nn?? Maana wengine chaputa hawana stamina na nguvu za miguu
Niwie radhi mkuu..ila kuna wale wasio na mazoez huwa miguu yao haina nguvu hata ukimwambia asimame kwa mguu mmoja hawez utaona anatetemekaNiombe radhi mwenyekiti mstaafu wa CHAPUTA kanda ya kusini.
Wapiga chaputa hawana stamina?
Kuwa mpole kijana ukirudi nitakubeba bure usijali mwili wako laaiiiniKumbuka mimi ndiye nilikuwa nyuma yake hata kama alinishika matako
Ukaona ubebwe mgongoni sio[emoji23][emoji23]Hapana ndugu, nilikuwa faster nikaona kazi kuvua kiatu.