NDORANGA
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 216
- 376
Habarini wakuu,
Nilikuwa nahitaji kijana wa kukaa DUKANI (uuzaji)
- Ni duka la jumla lipo maeneo ya Gongo la Mboto
VIGEZO
Awe anajua kusoma, kuandika na kuhesabu (kuanzia kidato cha nne na kuendelea)
Mshahara: Mshahara ni 270,000 chakula cha mchana(lunch) juu yangu mwajiri
Natanguliza shukrani

- Jinsia yeyote
- Awe mkazi wa Dar-es-Salaam
- Awe na uzoefu wa kazi za dukani
- Awe mtiifu na mcheshi