Kijana wa dukani (duka kubwa la jumla jumla) anahitajika

Kijana wa dukani (duka kubwa la jumla jumla) anahitajika

-Asanteni wakuu nmeshampata kijana.
-Asanteni wote mlioshiriki kwa namna moja ama nyingine.
 
Habarini wakuu,

Nilikua nahitaji kijana wa kukaa DUKANI (uuzaji)
- Ni duka la jumla lipo maeneo ya gongo la mboto

VIGEZO
Awe anajua kusoma,kuandika na kuhesabu (kuanzia kidato cha nne na kuendelea)

  • Jinsia yeyote
  • Awe mkazi wa Dar-es-Salaam
  • Awe na uzoefu wa kazi za dukani
  • Awe mtiifu na mcheshi

Mshahara: Mshahara ni 270,000 chakula cha mchana(lunch) juu yangu mwajiri

Natanguliza shukrani
Tangazo kinasema, nilikuwa, maana halisi meshamaliza hitaji lake kwa maaana anatumia muda uliopita nyie angaikeni tu huko mp
 
Tangazo kinasema, nilikuwa , maana halisi meshamaliza hitaji lake kwa maaana anatumia muda uliopita nyie angaikeni tu huko mp
Acha kukaza hilo fuvu hapo juu ya shingo, hilo ni neno la kawaida na watu wengi wanalitumia hata wakiwa bado wanahitaji huduma
 
Duh hapo pm kwa jamaa kutakuwa kumesheheni siyo powa!
Vip forex imekutajirisha hadi umefungua duka mkuu ..hongera sana aise..!
 
Nina ndugu yangu ameshafanya Sana kazi ya Duka ni mcheshi na muaminifu Sana kama utapenda nikukutanishenae ni pm nakuhakikishia hautajuta.
 
Back
Top Bottom