Wa kike yupo MbagalaNipo naweza kusimamia umuhimu ni uaminifu tyu nitafanyakazi kwa bidiii mungu anisaidie 0626456047 kwa mawasiliano zaidii
NimekuPM mkuu.Habarini wakuu,
Nilikua nahitaji kijana wa kukaa DUKANI (uuzaji)
- Ni duka la jumla lipo maeneo ya gongo la mboto
VIGEZO
Awe anajua kusoma,kuandika na kuhesabu (kuanzia kidato cha nne na kuendelea)
- Jinsia yeyote
- Awe mkazi wa Dar-es-Salaam
- Awe na uzoefu wa kazi za dukani
- Awe mtiifu na mcheshi
Mshahara: Mshahara ni 270,000 chakula cha mchana(lunch) juu yangu mwajiri
Natanguliza shukrani
Nimeshakuja DM mkuuHabarini wakuu,

DooohMungu awasaidie sana ninyi wote mnaotafuta ajira. Amin.