GoodHongera kwake!
Kama itawezekana na atapenda anapokuwa akisubiri matokeo ya ASCEE yatoke hadi kwenda chuo nadhani;
Atafutiwe mahali anapoweza kujiongezea ujuzi kwa kuchagua kusoma kozi fupi zitolewazo na VETA.
Atafutiwe mahali anapoweza fanya kazi kama ni kwa watu binafsi/Taasisi yoyote afanye kazi yoyote ya kujitolea lakini iwe inampa ujuzi hata kama ni kwa malipo kidogo au pasipo malipo.
h1-b hiyo *****.Asante mkuu Sasa hivi ni mhandis Star link na Tesla. Pia NASA napiga part time.
Chaliifrancisco mshamba_hachekwi
Nyau de adriz
Mwambie akaribie kitaaaHabarini
Nna mdogo wangu amemaliza kidato cha sita leo hapa dsm
Anatafuta sehem yyte pakujishikiza
Kijana ni shupavu na mwenye nidhamu
0718909429
Uwinga anauweza huyo?Habarini
Nna mdogo wangu amemaliza kidato cha sita leo hapa dsm
Anatafuta sehem yyte pakujishikiza
Kijana ni shupavu na mwenye nidhamu
0718909429