Kijana wa hovyo azeeka

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Baada ya kufika Karagwe na kukaribishwa na warembo, leo nilimtembelea mzee mmoja ili kuchota busara zake maana mimi ni mkazi mpya.

Ushauri wake ulifanya niamini kuwa yule ni kijana wa hovyo aliye zeeka. Kwakifupi kanishauri kupiga mashine watoto wazuri kipindi hiki cha ujana.

Uzi tayari.
 
Sasa ulitaka akushauri wewe ndo upigwe mashine? Mi naona kakupa ushauri wa msingi
 
Alikushauri nini kuhusu suala la Katerelo?
 
Poleni kwa masaibu ya ajali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…