Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Costa Boy amesema hana mpango wa kuifuta tattoo aliyochora kwa upendo wake kwa Waziri Mkuu Majaliwa
==
Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza ushiriki wenye tija na kuwapata viongozi bora wasioendekeza uchawa?
Kijana mmoja maarufu kama Costa Boy, kutoka Kigoma ameibua gumzo baada ya kuchora tattoo ya sura ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kifuani mwake. Tendo hilo limetafsirika kama ishara ya upendo na heshima kwa kiongozi huyo, ambapo amedai ametumia TSh. 150,000/-