Kijana mmoja maarufu kama Costa Boy, kutoka Kigoma ameibua gumzo baada ya kuchora tattoo ya sura ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kifuani mwake. Tendo hilo limetafsirika kama ishara ya upendo na heshima kwa kiongozi huyo, ambapo amedai ametumia TSh. 150,000/-