Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Lizzy Licious wewe huvutiwa na nini?
Honestly....jinsi tu mtu alivyo...anavyojiweka...anavyochukulia na kutreat watu wengine!!Hayo mengine ni nyongeza tu kama nyanya moja kwenye fungu zima!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lizzy Licious wewe huvutiwa na nini?
Karibu sana kuna mambo mapya mengi sana pale na usishangae siku hiyo ukaondoka na mzungu wako mmoja
#Hahahaha...huyo mzungu nampeleka wapi tena jamani?!
unawaza tu kuwavutalia wanawake kitandani, heby fikiria kuboresha maisha ya Mtanzania asiye na chakula, maji, umeme wala mafuta
#
hahahaha mnaambiaana how are u
then mhhhh..........................
<br /><span style="font-family: comic sans ms">Alafu we sijui ticha? yaani kuwapa wenzio mtihani unapeeenda! Ni PM basi ntakuletea ngararimu nimekuja nazo!</span>!
Nyani haoni kundule, kasahau mithread yake ya kizushi huwa tunachangia tu, mpaka zinahamishwawewe nazjaz umelazimishwa kuchangia? kwani hujui hii ni sehemu ya mapenzi na raha zake! mambo ya uchumi nenda kwingine utapata wenye hasira za maendeleo kama yako! hata wenye njaa somalia wanafanya mapenzi ndo manake watoto wenye utapiamlo wapo wengi saaaaaana!
Usiwe mlevi