Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
Kwa kweli huu ujinga sitaurudia tena!"Kijana wa kiume kulilia ajira, kulia unapofukuzwa kazi, halafu ukajinyenyekeza kuomba kurejeshewa ajira ambayo hujaitengeneza wewe wala baba yako, ni dalili ya utegemezi uliokithiri wenye kuzalisha uchawa. Taifa linahitaji vijana wanaotengeneza ajira, si wanaoziabudu." — Alloyce, P.R.
Ushauri mzuri."Kijana wa kiume kulilia ajira, kulia unapofukuzwa kazi, halafu ukajinyenyekeza kuomba kurejeshewa ajira ambayo hujaitengeneza wewe wala baba yako, ni dalili ya utegemezi uliokithiri wenye kuzalisha uchawa. Taifa linahitaji vijana wanaotengeneza ajira, si wanaoziabudu." — Alloyce, P.R.
Mbona umekuja kwa hasira sana..au ndio aliyesema yala ndio lililompata 😂Unataka wawe Mapunga kama wewe?
Utakua wewe ni miongoni mwa punga. Bata wewe.Unataka wawe Mapunga kama wewe?