The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Umesema kweli kabisa mkuu. Wazazi yatupasa tuwe na urafiki na watoto ili kusikiliza changamoto zao.Muda wote mzazi uso umeukunja, kufokea watoto hovyo hata mtoto anapopata changamoto anashindwa kusema.
Naam hili ni tatizo kubwa sanaMuda wote mzazi uso umeukunja, kufokea watoto hovyo hata mtoto anapopata changamoto anashindwa kusema.
Dahh 🤣Upumbavu unaanzia hapa.
Muacheni mtoto afaidi inaonyesha anafurahia hilo na mama amelibariki hilo.
Pole sana, kuwa na subira na kuongea na mtoto taratibu atasema. ikibidi muweke mtego mumkamate huyo mshenzi. Nashauri sana uwashirikishe dawati la jinsia kikubwa mtoto ajione yuko safe kuongea hilo.Wadau Habari,
Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.
Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio kuna mtu anamfanyia kitendo hiko tangu mwezi wa 5 lakini hakumtaja jina.
Huyu mtoti ni wa darasa la mtihani,nawaza namna sahihi ya kushughulikia hiki jambo kwa utulivu ili mambo yasiraribike.
Hatua nilizochukua:
Nilimpigia polisi wa kituo cha karibu akanishauri niongee na mtoto kama hatasema nimpeleke kituoni kwa kibano zaidi amtaje mubusika.
Dawati la jamii wakanishauri niongee na mtoto wa urafiki atataja tu ili tuweze kumsaidia.
Nifungueni kichwa kimejam,naomba ushauri.
Ukitukana, litakukuta jambo:
Huyu mama hawezi bariki hili,sababu hata simu aliyopiga nikajua kuna msiba maana alilia sana.Upumbavu unaanzia hapa.
Muacheni mtoto afaidi inaonyesha anafurahia hilo na mama amelibariki hilo.
Huyu mama hawezi bariki hili,sababu hata simu aliyopiga nikajua kuna msiba maana alilia sana.
Tafadhari usihukumu tofauti.
Kwann jina halijatajwa kama kweli wanataka kutatua hilo?Dahh 🤣
Wana mbembeleza mtoto kwanza 🤣Kwann jina halijatajwa kama kweli wanataka kutatua hilo?