Kijana wa kiume mwanafunzi wa shule ya Msingi anaingiliwa kinyume na maumbile !Msaada hatua za kuchukua

Wadau Habari,

Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.

Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio kuna mtu anamfanyia kitendo hiko tangu mwezi wa 5 lakini hakumtaja jina.

Huyu mtoti ni wa darasa la mtihani,nawaza namna sahihi ya kushughulikia hiki jambo kwa utulivu ili mambo yasiraribike.

Hatua nilizochukua:
Nilimpigia polisi wa kituo cha karibu akanishauri niongee na mtoto kama hatasema nimpeleke kituoni kwa kibano zaidi amtaje mubusika.

Dawati la jamii wakanishauri niongee na mtoto wa urafiki atataja tu ili tuweze kumsaidia.

Nifungueni kichwa kimejam,naomba ushauri.

Ukitukana, litakukuta jambo:
TAHADHARI
Kuwa makini unaposhughulikia swala kama hilo Mungu akuongoze vyema na hakikisha unapokuwa na mtoto sijui kumuhoji usiwe peke yako isee.
Muda mwingine unaweza kubadilikiwa mzigo ukapewa wewe..
Hii dunia ione hivihivi na hawa walimwengu!
 
Wadau Habari,

Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.

Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio kuna mtu anamfanyia kitendo hiko tangu mwezi wa 5 lakini hakumtaja jina.

Huyu mtoti ni wa darasa la mtihani,nawaza namna sahihi ya kushughulikia hiki jambo kwa utulivu ili mambo yasiraribike.

Hatua nilizochukua:
Nilimpigia polisi wa kituo cha karibu akanishauri niongee na mtoto kama hatasema nimpeleke kituoni kwa kibano zaidi amtaje mubusika.

Dawati la jamii wakanishauri niongee na mtoto wa urafiki atataja tu ili tuweze kumsaidia.

Nifungueni kichwa kimejam,naomba ushauri.

Ukitukana, litakukuta jambo:
Inaumiza sana.

Haya mambo yamekuwa ya kishetani sana.

Bwana atusaidie.
 
Mtoto wa darasa la 4 probably yuko chini ya miaka 10, ni umri ambao mzazi unatakiwa uwe unamuogesha mtoto wako kama kuna mabadiliko ni rahisi kutambua mapema na kuchukua hatua, sasa huyo tangu mwezi wa 5 anafanyiwa ukatili wewe hujui chochote kwa kiasi kikubwa ni kufeli kwenye malezi.

Kitu kingine ni kuwa ukijijengea tabia ya kuwa mkali kupitiliza kwa mtoto inaweza kuchangia kumfanya aogope kusema ukatili anaofanyiwa kwa kuhofia atakua ameongeza tatizo na akaishia kutandikwa.

Kwa umri wake wala hatakataa kusema aliemfanyia hivyo ni nani, chakufanya nenda nae kituo cha polisi kuta dawati la jinsia na watoto wana deal na haya mambo ya GBV, wanajua namna ya kuongea na mtoto na kumuhakikishua usalama wake na atasema akiwa huru .

Dunia ya sasa kuna watu washenzi sana unaweza kuuwa mtu, na mitandaoni hawa mashoga sahivi wamekua ni watu wanaoangaliwa kama inspiration utashangaa kuona shoga ana page mtandaoni na ana followers zaidi ya 100k huu ni msiba mzito , hawa wanastahili kutengwa ili mtu yoyote asichukulie ni kitu cha kawaida kuwa shoga.
 
Ukishamjua nenda kwa mganga kashitaki, kisha muambie adhabu yake amfanye jamaa nae kuwa shoga na awe hanithi
Wadau Habari,

Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.

Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio kuna mtu anamfanyia kitendo hiko tangu mwezi wa 5 lakini hakumtaja jina.

Huyu mtoti ni wa darasa la mtihani,nawaza namna sahihi ya kushughulikia hiki jambo kwa utulivu ili mambo yasiraribike.

Hatua nilizochukua:
Nilimpigia polisi wa kituo cha karibu akanishauri niongee na mtoto kama hatasema nimpeleke kituoni kwa kibano zaidi amtaje mubusika.

Dawati la jamii wakanishauri niongee na mtoto wa urafiki atataja tu ili tuweze kumsaidia.

Nifungueni kichwa kimejam,naomba ushauri.

Ukitukana, litakukuta jambo:
 
Poleni sana sana lakini kijana akishaingiliwa ni ngumu kuacha wanadai baada ya muda wanatamani tena mana teyari keshaguswa mishipa ya fahamu inayozunguka kiuno kwa mujibu wa jarida la vijana wa Switzerland
Kikubwa ni kuomba vijana wetu wasiingiliwe kabisa

Hata yule kijana aliyeokoka akadai ameacha sio rahisi kwasababu kuna siku atasumbuliwa na mishipa ya fahamu inapotaka tena stimulation

All in all poleni sana wahanga
 
Baada ya kumkamata na ushahidi kukusanywa
Mtoto apigwe bomba na kupatiwa ushauri wa kisaikolojia
 
Kwasababu ni mtoto yupo kwenye darasa la mitihani, nenda naye taratibu naamini utapata kile unachokihitaji
Darasa la mtihani lina maana gani? Achana na mambo ya mtihani ambao hauna maana hata akimaliza atatembea na vyeti mapambo. Tumia njia yoyote ujue huyo mhalifu hata kama ni kumpeleka mtoto dawati. Mambo mengine ya shule ni baadae
 
Wadau Habari,

Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.

Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio kuna mtu anamfanyia kitendo hiko tangu mwezi wa 5 lakini hakumtaja jina.

Huyu mtoti ni wa darasa la mtihani,nawaza namna sahihi ya kushughulikia hiki jambo kwa utulivu ili mambo yasiraribike.

Hatua nilizochukua:
Nilimpigia polisi wa kituo cha karibu akanishauri niongee na mtoto kama hatasema nimpeleke kituoni kwa kibano zaidi amtaje mubusika.

Dawati la jamii wakanishauri niongee na mtoto wa urafiki atataja tu ili tuweze kumsaidia.

Nifungueni kichwa kimejam,naomba ushauri.

Ukitukana, litakukuta jambo:
Mkuu ungesema tu mtoto ni wako. Umejizungusha sana hadi ukatengeneza tatizo jingine hadi nimemhurumia sana rafiki yako kama ni kweli maana ana matatizo mawili sasa:

1. Mwanae analawitiwa na mhuni fulani.
2. Mkewe analiwa na mhuni fulani (ambaye ni wewe).

Sasa kinachofuata ni kukubandikia hilo kosa la ulawiti kama bonus, then ngoma uicheze wewe ukae mbali na mke wa rafikiyo. Ndio maana katoto hakajamtaja mhusika kwa mama, dili kamekula na baba yake.
 
Baba wa mtoto kafariki ama vp mana haya mambo ilibid ww usiyajue kabisa kabla hawajapata solution yaan famili ili solve kwanza ndo uambiwe ww sasa huyo mke kukwambia ww alimaanisha mumewe hana maamuzi ya ki family kabisa hamuamini mumewe
 
Wadau Habari,

Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.

Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio kuna mtu anamfanyia kitendo hiko tangu mwezi wa 5 lakini hakumtaja jina.

Huyu mtoti ni wa darasa la mtihani,nawaza namna sahihi ya kushughulikia hiki jambo kwa utulivu ili mambo yasiraribike.

Hatua nilizochukua:
Nilimpigia polisi wa kituo cha karibu akanishauri niongee na mtoto kama hatasema nimpeleke kituoni kwa kibano zaidi amtaje mubusika.

Dawati la jamii wakanishauri niongee na mtoto wa urafiki atataja tu ili tuweze kumsaidia.

Nifungueni kichwa kimejam,naomba ushauri.

Ukitukana, litakukuta jambo:
No reform no election
 
Huyo mtoto hana Baba yake na Kama yupo kwanini umefikishiwa wewe taarifa kabla ya Baba yake.

Mtoto Kama ameingiliwa haujatuambia Ana umri gani
Haujatuambia Boxer imechafuka vipi

Ikiwa huyo mtoto Ana matatizo mpeleke polisi na baadae mpeleke hosptali afanyiwe matibabu baada ya hapo michakato iendelee .

Unapotatua tatizo Kama hilo weka hisia Pembeni.
 
Ninavyowajua watoto, hasemi ng'o, labda kaonyeshwa kisu kikali akaambiwa akisema tu atauwawa. Njia pekee ni polisi, wamesomea haya mambo.
 
Back
Top Bottom