Kijana wa kiume mwanafunzi wa shule ya Msingi anaingiliwa kinyume na maumbile !Msaada hatua za kuchukua

Kijana wa kiume mwanafunzi wa shule ya Msingi anaingiliwa kinyume na maumbile !Msaada hatua za kuchukua

Mke wa rafiki yako, kakupigia wewe simu, wewe ndio kichwa kinakuuma kushughulikia jambo, rafiki yako yuko wapi? Kwanin hamjamshirikisha nae ndio baba.

Anyways chukua mtoto, mpeleke sehemu anapendelea, muoneshe upendo huku ukimbana maswali ya akili,
Buni vistori vya uwongo, mfano km katishiwa, basi buni vistori kwamba ushawahi msaidia mtu katika hili na lile alitishiwa maisha, ukafanya hivi na vile, ili mtoto aone yupo sehemu salama zaidi.
Buni stori ya uongo kupitia hicho anachopitia yeye, mwambie wakat unasoma kuna mtu alifanyiwa hivi na vile, aliposema ikawa hivi na vile, utamuwin.
ila km mtoto ni mjanja kuliko ww hutaambulia kitu,
Mpeleke polisi akabanwe
Rafiki yangu ambae ni baba wa mtoto yuko nje ya nchi kwa masomo.

Nimewaza kwenda shule kwanza kuongea na walimu wanipe abcd za mtoto.

Kuna ushauri wako umenipa utanifaa pia.

Nashukuru sana rafiki.
 
Wadau Habari,

Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.

Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio kuna mtu anamfanyia kitendo hiko tangu mwezi wa 5 lakini hakumtaja jina.

Huyu mtoti ni wa darasa la mtihani,nawaza namna sahihi ya kushughulikia hiki jambo kwa utulivu ili mambo yasiraribike.

Hatua nilizochukua:
Nilimpigia polisi wa kituo cha karibu akanishauri niongee na mtoto kama hatasema nimpeleke kituoni kwa kibano zaidi amtaje mubusika.

Dawati la jamii wakanishauri niongee na mtoto wa urafiki atataja tu ili tuweze kumsaidia.

Nifungueni kichwa kimejam,naomba ushauri.

Ukitukana, litakukuta jambo:

Aione Dkt. Gwajima D
Ukimpata mtu ambae wanaiva na dogo mtu mzima mfano babu yake,bbi au mjomba au hata wazazi atasema ila kama anakuogopa ni ngumu kusema
 
hapo huyo aliyepiga simu n mke wako,na aliyefanyiwa hivyo n mtoto wenu,poleni sana wazazi.inauma mnoo,msaada ni wewe ukirudi Kaa na kijana wako Kwa upole km hujui kitu,piga nae story za kitoto afurahi achangamke,mtoe out mnunulie anachopenda,then unaweza kuanza kumdadisi taratibu,ata asiposema Kwa siku hyo fanya ni routine Hadi atakapoongea ukweli wote.hapa inategemea umri wa mtt,km darasa la 4 utawahi kupata ukwel ,kama ni darasa la 7 unahitaji utulivu mana anaweza kukuficha nae,km kaanza mwenz wa 5 ni juzi tuu hapo utamkutanisha na wanasaikolojia wamuweke sawa basi,akimaliza mtihan mpeleke mazingira tofaut na hapo nyumban Kwa muda akarefresh huko asahau hvyo vitendo

Mimi ni mtu mzima kidogo,watu wanaimani na mimi mtaani kwangu na huyu ni mtoto wa rafiki yangu
Angekua wangu ningeshamaliza hili kimya kimya.
 
Nilitaka niseme muacheni mtoto afaidi sema acha niwe serious Sasa

Watoto wengi wanakua na tabia hvi kutokana na wababa kukwepa majukumu yao kama babu zetu, mtoto wako wakiume hakikisha unakaa nae sana ukimaliza shughuri zako za kuingiza kipato toka nae kwenye sehemu za kiume usiruhusu mtoto akae sana nyumbani na kujihusisha na mambo yakike kwa asilimia kubwa hasa akiwa katika umri wa 3-15.

Usiruhusu mtoto wako awe junior dunia ishaharibika, huruma sio malezi utazalisha shoga tu.

Mfanye mwanao awe mkakamavu sio mjinga mjinga, ikibidi mtafutie hata demu akibalehe tu

Mtoto kuwa shoga ni fedheha kwababa TU mama atamfanya shost yake

Kuwa makini narudia huruma sio malezi
 
Ushoga ni Spirit.... Maombi ya Nguvu ni msaada tosha.

Yuko Shoga mmoja maarufu nimemsahau jina, Mungu kamuokoa na Sasa ni Mchungaji, Mungu aliruhusu apitie aliyopitia ili aje kusaidia wengine.
 
Upumbavu unaanzia hapa.

Kwann jina halijatajwa?
Muacheni mtoto afaidi inaonyesha anafurahia hilo na mama amelibariki hilo.
Huyokama kazoea na anapata raha hawezitaja huruma sio malezi wakati unamubembeleza akitoka hapo anaenda kuhemewatena tatizo linazidi kuakubwa peleka akale kibano wakiume huyo tuokoe taifa
 
Ushoga ni Spirit.... Maombi ya Nguvu ni msaada tosha.

Yuko Shoga mmoja maarufu nimemsahau jina, Mungu kamuokoa na Sasa ni Mchungaji, Mungu aliruhusu apitie aliyopitia ili aje kusaidia wengine.
Yule niushetani unamzungumzia yule wa misalaba
 
So watu tunaoamini watulelee wakina junior ndio hao wana wasodomize,shuleni,kanisani,madrasa,kote wanafanyiwa ukatili huu,sehemu gani salama kwa mtoto?? Lol no wonder ile gender wanasema they will choose bear..
 
Kuna mijitu sijui ni kupiga nyundo ya kichwa,

Unaendaje kumharibu mtoto wa mwenzako,

Huyo mtoto ana marafiki?

Ni marafiki wa aina gani?

Ni mdogo bado ndiyo,

vipi ana sound kama watoto wenzie wa kiume ?

ama ana egemea upande wa ke ?

Kwann mtoto akatae kumtaja muhusika je ni ndugu, au kiongozi wake wa dini au ni mwalimu au raia??

Kaeni naye chini, aseme ukweli watafutwe rafiki zake wahojiwe indirect way,,

Akizingua ale kibano, baadhi ya watoto wanatishiwa hivyo anaogopa kumtaja muhusika huku anayeumia na kuharibika ni huyo kijana mdg!!!!!
 
Wadau Habari,

Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.

Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio kuna mtu anamfanyia kitendo hiko tangu mwezi wa 5 lakini hakumtaja jina.

Huyu mtoti ni wa darasa la mtihani,nawaza namna sahihi ya kushughulikia hiki jambo kwa utulivu ili mambo yasiraribike.

Hatua nilizochukua:
Nilimpigia polisi wa kituo cha karibu akanishauri niongee na mtoto kama hatasema nimpeleke kituoni kwa kibano zaidi amtaje mubusika.

Dawati la jamii wakanishauri niongee na mtoto wa urafiki atataja tu ili tuweze kumsaidia.

Nifungueni kichwa kimejam,naomba ushauri.

Ukitukana, litakukuta jambo:

Aione Dkt. Gwajima D
Nenda kwa afisa ustawi wa jamii. Haya yote atayashughulikia. Ukiyashughulikia kama mtu binafsi yarakushinda na mtto ataendelea kufanyiwa. Anzia pale kwa mtendaji huwa wapo
 
Back
Top Bottom