Kijana wa kiume mwanafunzi wa shule ya Msingi anaingiliwa kinyume na maumbile !Msaada hatua za kuchukua

Ndio alinipigia mimi, mume wake yuko nje ya nchi nilimuuliza kuwa kama amemuambia mme wake akaniambia anaogopa kumwambia sababu yuko kwenye kozi asije akavurugika.
Utetezi wako na wa huyo mama ni wa kipumbavu sana. Wewe umesema unaenda taratibu na hilo suala eti kwa sababu mtoto yuko kwenye darasa la mitihani na mwanamke naye anaona hiyo kozi ni muhimu kuliko maisha ya mtoto. Acheni upumbavu aisee. Chukueni hatua za dharura kumwokoa mtoto. Ikibidi hata babake apande ndege kuja kuongeza nguvu. Au wewe ndo unamfira mtoto?
 
Kwasababu ni mtoto yupo kwenye darasa la mitihani, nenda naye taratibu naamini utapata kile unachokihitaji
Ushauri mbovu huu darasa la mtihani halisubirishi jinai...

Hata Mimi imenitokea hii na Wala mlolongo si mrefu kudeal nalo.
 
Wadau Habari,

Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.

Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio kuna mtu anamfanyia kitendo hiko tangu mwezi wa 5 lakini hakumtaja jina.

Huyu mtoti ni wa darasa la mtihani,nawaza namna sahihi ya kushughulikia hiki jambo kwa utulivu ili mambo yasiraribike.

Hatua nilizochukua:
Nilimpigia polisi wa kituo cha karibu akanishauri niongee na mtoto kama hatasema nimpeleke kituoni kwa kibano zaidi amtaje mubusika.

Dawati la jamii wakanishauri niongee na mtoto wa urafiki atataja tu ili tuweze kumsaidia.

Nifungueni kichwa kimejam,naomba ushauri.

Ukitukana, litakukuta jambo:

Aione Dkt. Gwajima D
Shahidi namba Moja ni huyo mtoto, make sure anaongea ukweli wote, usihamaki alokuambia ukweli, mwonee huruma, kwamba si makosa yake na lazima akuamini kua wewe ni jasiri anauhakika na ulinzi wako. Kinyume na hapo kesi ngumu.

Another thing kokomesha hilo tatizo usimvae mtuhumiwa akamatwe taratibu na usichoke kufuatilia kesi mpaka ifike mahakamani maana kama mtuhumiwa anahela utazungushwa na police balaa kesi haitofika mahakamani, na usiache kuhudhuria mahakamani kila inapoitwa kesi.
 
Aanze na marafiki wa mtoto wake, awachunguze wapi wanaenda wakiwa wanaenda shule, mtu gani anakuwa naye karibu lazima mhusika atapatikana.
 
Wadau Habari,

Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.

Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio kuna mtu anamfanyia kitendo hiko tangu mwezi wa 5 lakini hakumtaja jina.

Huyu mtoti ni wa darasa la mtihani,nawaza namna sahihi ya kushughulikia hiki jambo kwa utulivu ili mambo yasiraribike.

Hatua nilizochukua:
Nilimpigia polisi wa kituo cha karibu akanishauri niongee na mtoto kama hatasema nimpeleke kituoni kwa kibano zaidi amtaje mubusika.

Dawati la jamii wakanishauri niongee na mtoto wa urafiki atataja tu ili tuweze kumsaidia.

Nifungueni kichwa kimejam,naomba ushauri.

Ukitukana, litakukuta jambo:

Aione Dkt. Gwajima D
Hiyo kesi kuna uwezekano naijua ...ni mkoa gani? Majuzi nimekuta kesi kama hiyo kituo cha polisi mtoto wa primary anagoma kumtaja anaye muingilia kata kata ...wamembembeleza sana ...polisi wakamwambia mama yake ..wakisema wamtese aseme mtoto ni mdogo waendelee kumbembeleza.
 
Wadau Habari,

Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.

Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio kuna mtu anamfanyia kitendo hiko tangu mwezi wa 5 lakini hakumtaja jina.

Huyu mtoti ni wa darasa la mtihani,nawaza namna sahihi ya kushughulikia hiki jambo kwa utulivu ili mambo yasiraribike.

Hatua nilizochukua:
Nilimpigia polisi wa kituo cha karibu akanishauri niongee na mtoto kama hatasema nimpeleke kituoni kwa kibano zaidi amtaje mubusika.

Dawati la jamii wakanishauri niongee na mtoto wa urafiki atataja tu ili tuweze kumsaidia.

Nifungueni kichwa kimejam,naomba ushauri.

Ukitukana, litakukuta jambo:

Aione Dkt. Gwajima D
Baba wa mtoto yuko wapi??
 
Ingekuwa hajaingiliwa ndio mngembembeleza, hebu mpigeni amtaje..!!
Hivyo mnavyompetipeti ataenda kumpa taarifa huyo anayemuingilia atakimbia.!!
Naunga mkono hoja. Kuna mtu namfahamu aliacha kazi nje ya nchi yenye mshahara USD 12000 kwa mwezi ili kuja kumnusuru mwanae aliyeanza kujiingiza kwenye bangi, ulevi na tabia zingine za hovyo. Mama mtu alishaanza kuzidiwa na mwanae... yule mzee alifanikiwa kumweka sawa mwanae ambaye sasa hivi ni mtu mzima mwenye mke na watoto wawili. Sasa huyu mleta mada anajitetea eti mtoto yuko kwenye darasa la mtihani ndo maana hawataki kumvuruga na baba wa mtoto hajaambiwa kisa yuko nje ya nchi kimasomo. Yaani napatwa na hasira mno watu kama hawa wanaobembeleza upuuzi.
 
Huyo mtoto wanamchekea, na wazazi nao wajinga akiwemo mleta uzi…!!

Hii tabia ya kuwaonea huruma kina junia kila kitu mpk muwauulize kwa kuwabembeleza hii sio America..!!

Mitoto ya kitanzania hahitaji aina ya malezi hayo..!
 
Aisee,una kichwa kigumu kuelewa wewe.
 
Huyo mtoto wanamchekea, na wazazi nao wajinga akiwemo mleta uzi…!!

Hii tabia ya kuwaonea huruma kina junia kila kitu mpk muwauulize kwa kuwabembeleza hii sio America..!!

Mitoto ya kitanzania hahitaji aina ya malezi hayo..!
Ni rahisi kusema Sababu sio mtu wako wa karibu,
Angekua wangu wala nisingehangaika maana jana usiku Angela la juu ya kenchi amembea tena bila kula.
 
Kumbe ww ni mjinga kiasi hiki?
Huyu bwana mdogo ananikosea sana.
Mtoto sio wangu nahangaika kuokoa kizazi cha Rafiki yangu siwezi Piga mtoto wa mwenzangu akinifia? Siwezi peleka polisi akipata shida,na siwezi mwambia Rafiki yangu maana mkewe amekataa.
 
Back
Top Bottom