Kijana wa kiume mwanafunzi wa shule ya Msingi anaingiliwa kinyume na maumbile !Msaada hatua za kuchukua

Wadau Habari,

Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.

Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio kuna mtu anamfanyia kitendo hiko tangu mwezi wa 5 lakini hakumtaja jina.

Huyu mtoti ni wa darasa la mtihani,nawaza namna sahihi ya kushughulikia hiki jambo kwa utulivu ili mambo yasiraribike.

Hatua nilizochukua:
Nilimpigia polisi wa kituo cha karibu akanishauri niongee na mtoto kama hatasema nimpeleke kituoni kwa kibano zaidi amtaje mubusika.

Dawati la jamii wakanishauri niongee na mtoto wa urafiki atataja tu ili tuweze kumsaidia.

Nifungueni kichwa kimejam,naomba ushauri.

Ukitukana, litakukuta jambo:

Aione Dkt. Gwajima D
Nimeumia sana jamani ..hapana mbane aseme. Uwi tumbo limeuma😭
 
Kuna hawa wazazi wanaopeleka watoto zao chini ya 18 kwenda boarding schools

Endeleen
Mnacho kitafuta mtakipata

Kwa kigezo cha busy
 
Kwenye shule hizi za kidumu na ufagio hali ni tete,yaani hata wa madarasa ya juu wa na awala wa madarasa ya chini
 
pole nyingi kwa mtoto, unapoendelea hayo yote jua labda hata leo katendwa au kamwambia kadakwa na anafundishwa ya kujibu. huwa sio wa mbaliiii nao

Embu elezea zaidi juu ya Baba yake, yupo mbali na mkewe na mtoto au mchepuko na mtoto au?
issue hii inasikitisha ila nashangaa mzigo umejitwaa wewe na kusubiriwa kufanya maamuzi.

Baba yake amesemaje hadi sasa, why yeye asikuelekeze ufanyaje?

Ndio maana wengine wamedai wewe ndie Babaake...funguka tukushauri wengine na sie.. sio uashauriwa unakuja kusema mkewe kasema iwe hivi na huyo babaake pia unavyodai.. as kwa sasa ni kama hata huyo ni mchepuz wako
Bado nahisi napaswa kumbwambia babà mtoto anipe go ahead na tukadiliane Kipi cha kufanya hata kama yuko mbali.

Hii ni kama famililia yangu lakini bila kimwambia yeye na nikafanya kwa utashi wangu nitakua nimekosea.

Nitashauri mke wake amwambie Kisha tuahirikishane nipate fully authority ya kulivaa hili jambo.

NITAWAPA MREJESHO KESHO JIONI.
 
Hii Dunia tuliyonayo ni hatari kubwa kulea mtoto wa kiume kuliko wa kike. Tofauti na miaka ya wazee wetu ambapo mtoto wa kiume ilikuwa ni baraka.

Mtoa mada japo umefunga funga taarifa lakini ukatili wa kijinsia mara nyingi hufanywa na mtu wa karibu sana ambaye huwezi kumdhania.

Dawati la jinsia na watoto wanaweza kukusaidia kwasababu wanaifahamu saikolojia ya watoto vizuri.

Mungu awape nguvu na imani katika kuliendea suala hilo.
Asante rafiki,nimewambia mkewe amwambie babà watoto mwenyewe kisha anijilishe.

Msichokijua mimi ni babà wa ubatizo wa huyu kijana.
 
Poleni sana sana lakini kijana akishaingiliwa ni ngumu kuacha wanadai baada ya muda wanatamani tena mana teyari keshaguswa mishipa ya fahamu inayozunguka kiuno kwa mujibu wa jarida la vijana wa Switzerland
Kikubwa ni kuomba vijana wetu wasiingiliwe kabisa

Hata yule kijana aliyeokoka akadai ameacha sio rahisi kwasababu kuna siku atasumbuliwa na mishipa ya fahamu inapotaka tena stimulation

All in all poleni sana wahanga
UZUSHI. Mbona we uliingiliwa kinyume na kwa sasa upo fine
 
Wadau Habari,

Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.

Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio kuna mtu anamfanyia kitendo hiko tangu mwezi wa 5 lakini hakumtaja jina.

Huyu mtoti ni wa darasa la mtihani,nawaza namna sahihi ya kushughulikia hiki jambo kwa utulivu ili mambo yasiraribike.

Hatua nilizochukua:
Nilimpigia polisi wa kituo cha karibu akanishauri niongee na mtoto kama hatasema nimpeleke kituoni kwa kibano zaidi amtaje mubusika.

Dawati la jamii wakanishauri niongee na mtoto wa urafiki atataja tu ili tuweze kumsaidia.

Nifungueni kichwa kimejam,naomba ushauri.

Ukitukana, litakukuta jambo:

Aione Dkt. Gwajima D
Mke WA rafiki YAKO je rafiki Yuko wapi
 
Back
Top Bottom