Unapokuwa unaandika tumia akili.Mke wa rafiki yako, kakupigia wewe simu, wewe ndio kichwa kinakuuma kushughulikia jambo, rafiki yako yuko wapi? Kwanin hamjamshirikisha nae ndio baba.
Anyways chukua mtoto, mpeleke sehemu anapendelea, muoneshe upendo huku ukimbana maswali ya akili,
Buni vistori vya uwongo, mfano km katishiwa, basi buni vistori kwamba ushawahi msaidia mtu katika hili na lile alitishiwa maisha, ukafanya hivi na vile, ili mtoto aone yupo sehemu salama zaidi.
Buni stori ya uongo kupitia hicho anachopitia yeye, mwambie wakat unasoma kuna mtu alifanyiwa hivi na vile, aliposema ikawa hivi na vile, utamuwin.
ila km mtoto ni mjanja kuliko ww hutaambulia kitu,
Mpeleke polisi akabanwe
Inahitaji uangalizi muhimu sana tena sana..Fanyeni njia yoyote mtoto amtaje muhusika...
Then mshushieni kipondo kikali mtoto huyo mwambieni makalio yasishikwe kazi yake ni ku puu tuu na si vinginevyo...
Huyo muhusika alogwe tuu hakuna namna awe hata tahira
Husomi babu kakuambia yeye ni baba wa ubatizo wa mtoto baba wa mtoto yupo canadaMke wa rafiki yako, kakupigia wewe simu, wewe ndio kichwa kinakuuma kushughulikia jambo, rafiki yako yuko wapi? Kwanin hamjamshirikisha nae ndio baba.
Anyways chukua mtoto, mpeleke sehemu anapendelea, muoneshe upendo huku ukimbana maswali ya akili,
Buni vistori vya uwongo, mfano km katishiwa, basi buni vistori kwamba ushawahi msaidia mtu katika hili na lile alitishiwa maisha, ukafanya hivi na vile, ili mtoto aone yupo sehemu salama zaidi.
Buni stori ya uongo kupitia hicho anachopitia yeye, mwambie wakat unasoma kuna mtu alifanyiwa hivi na vile, aliposema ikawa hivi na vile, utamuwin.
ila km mtoto ni mjanja kuliko ww hutaambulia kitu,
Mpeleke polisi akabanwe
Sure..wazo zuriInahitaji uangalizi muhimu sana tena sana..
Aanze kusex na girls mapema itamsaidia kujua matumizi ya sehemu zake.. sababu akiiachwa hivyo itakuwa hivyo..
Huyo jamaa adhabu yake akatwe kende moja moja akikamatwa..
We kwa akili zako sijasoma, amerekebisha, kama angeandika hovyo nisingemuuliza swali hilo mkuu.Husomi babu kakuambia yeye ni baba wa ubatizo wa mtoto baba wa mtoto yupo canada
😂🤣 Sasa hii ya kutumia akili imetokea wapi jamani...Unapokuwa unaandika tumia akili.
Kaelezea vyote mzazi yupo canada.. yeye ni baba wa ubatizo ni sehemu ya familia kama rafiki mkubwa wa mme wa huyo mke wa rafiki yake. Ndio maana kapigiwa simu unataka alieoko canada afanyeje? Arudi Tanzania ?
We nawe, niingiliwe kana kwamba mke wangu hana lulu sio, pipe za nyuma za kazi gani, ule ni ufala tu kama ufala mwingineUZUSHI. Mbona we uliingiliwa kinyume na kwa sasa upo fine
Unaogesha mtoto wa darasa la 4!?Mtoto wa darasa la 4 probably yuko chini ya miaka 10, ni umri ambao mzazi unatakiwa uwe unamuogesha mtoto wako kama kuna mabadiliko ni rahisi
Solution ni kulea mtoto wa kiume kwenye misingi ya kiume!Sijui hii miamba yangu niifunge jipiesiiii
Mungu atulindie vijana wetu jameni
Mazingira ya nje utayacontrol vipi?Solution ni kulea mtoto wa kiume kwenye misingi ya kiume!
Basi!!!
Hakuna solution nyingine.
Baba wa ubatizo!Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.
Ukilea mtoto katika misingi ya kiume, huyo mtoto mwenyewe ataweza kucontrol mazingira ya nje!Mazingira ya nje utayacontrol vipi?
Been in a field naona hao watoto wanaletwa washaharibiwaUkilea mtoto katika misingi ya kiume, huyo mtoto mwenyewe ataweza kucontrol mazingira ya nje!
Jamii eeh?Been in a field naona hao watoto wanaletwa washaharibiwa
Play your part kama mzazi
Ombea pia wanaomzunguka kusiwe na pedophiles
Kama una mtoto utajua hilo mwanao analelewa na jamii zaidi kuliko wewe
Anaenda shule saa 1 anarud saa 9 anafika saa 12 na schoolbus
Anakaa na dada wa kazi had saa 1
Saa 2 hadi 3 unakaa naye mnalala
Baba wa ubatizo huyo Bwashee, wenyewe wanawaita Baba wa imani!Baba wa mtoto kafariki ama vp mana haya mambo ilibid ww usiyajue kabisa kabla hawajapata solution yaan famili ili solve kwanza ndo uambiwe ww sasa huyo mke kukwambia ww alimaanisha mumewe hana maamuzi ya ki family kabisa hamuamini mumewe