Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Issue sio mtu wa karibu mimi kwanza nilivyo hata nikute mtoto wa jirani yangu haeleweki nawajibika km mzazi wake..!!Ni rahisi kusema Sababu sio mtu wako wa karibu,
Angekua wangu wala nisingehangaika maana jana usiku Angela la juu ya kenchi amembea tena bila kula.
Huyo mke wa rafiki yako amekuamini lakini wewe umemuangusha, mtoto wa std seven ni mkubwa anaweza kujieleza nawashangaa mnavyombembeleza hamuoni mtuhumiwa atakimbia??