Kijana wa Kiume Unaejua kutumia Computer vizuri unahitajika

Kijana wa Kiume Unaejua kutumia Computer vizuri unahitajika

The bump

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2019
Posts
1,488
Reaction score
2,908
Sifa

Ujue kutumia computer vizuri
Ujue kupiga window na kugundua tatizo computer inapo misbehave
Ujue kusolve matatizo yatakayojitokeza endapo computer italeta mushkeli
Uwe na wadhamini


Majukumu

Kuingiza Movie na Nyimbo kwa Wateja

Mshahara

250,000 (kwa mwezi)

OFISI ilipo

Dar es salaam - Ubungo,Mawasiliano.

Contact : Karibu inbox muhitaji.
 
Niko vizuri katika hilo, naweza mpaka kuflash simu na mazaga mengi yanayohusiana na computer~nimekuwa kwenye biashara miaka miwili ofisi ilikuwa yangu. Kulingana na experience yangu huo mshahara ni mkubwa, una telabyte ngapi za storage kwenye machine yako?
 
Back
Top Bottom