KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
CHAWA wachafu hao. Chukua machawa wenye hadhi na ushawishi kama maggid, Pascal Mayalla, na Tulia Ackson.Wanasema hakuna tajiri anakosa Mpambe labda kama ni pesa za majini
Kama huna mpambe jua Bado huna pesa na pesa ya kujikimu tu
Yaani uwe na pesa kama pesa ukose mtu au chawa wa kukupa sifa
Hata Mungu tajiri na mmiliki ukimpa sifa na utukufu basi hufurahi, sembuse si binadamu
Hapa utaenda na chawa Gani kati ya hawa watatu
1. Mwijaku
2Baba Levo
3. Dotto Magari
Hawa kina chawa wa mama, MamaSamia2025 , Lucas Mwashambwa watakuletea gundu tu