Peter Mwaihola
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 276
- 460
Unamuona huyo mwanamke ulienae kwenye mahusiano, ana nafasi ya kufanikiwa kwa haraka kimaisha kuliko wewe.
Wakati wewe unapambana mwenyewe hakuna anaekuja kukusaidia, hakuna anayejali kuhusu wewe, hata watu hawakupendi kwa sababu hauna thamani. Unaona unavyowekeza kwa mwanamke, inaweza kuwa hatari na majuto kwako baadae.
Mwanamke ana bahati ya mapema kwenye maisha kuliko wewe, hivi na vile tayari amekushinda, dunia ni rahisi Sana kwake kuliko ilivyo kwako ndio maana unatakiwa kuyatazama zaidi malengo yako kuliko kumjali yeye.
Kama utashindwa kufanikiwa kimaisha utateseka sana mbele yake, hatimae atakuacha na kwenda kwa mwanaume mwingine ambaye hajashindwa kufanikiwa.
Sahau ujanja wote wa mahaba anaotumia kukuhakikishia kuwa "atakuwa nawe milele" ni uongo, matatizo yakizidi atakimbia.
Ni ukweli kwamba wanawake wengi watakuvumilia kwa sababu bado hawajaona mahali pengine palipo bora pa kwenda, nafasi bora ikionekana atakutelekeza na utasahau maneno yake yote aliyokuapia.
Ndio maana mwanaume hutakiwi kutumia muda mwingi kumfuatilia mwanamke huku na kule, mwanamke ni mharibufu sana wa maisha ya mwanaume asiyeishi kwa malengo, atakukausha na kukuacha.
Pambana kwa ajili yako, yachukulie maisha yako kwa umakini, ongeza ujuzi, dhihirisha nguvu ya uanaume iliyo ndani yako, weka kipaumbele cha kuwa mwanaume bora, wekeza kwenye ubongo wako kwa sababu ni kitu pekee ambacho hakitakuacha kwenye raha na tabu.
Kuwa mwenye Busara.
[emoji2398] Peter Mwaihola