Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Huu Uzi ni Iron dome iliyo katika mfumo wa maandishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Mwanamke anatumia hela zako kujipendezesha ili awavutie wanaume wenye hela zaidi yako"Unamuona huyo mwanamke ulienae kwenye mahusiano, ana nafasi ya kufanikiwa kwa haraka kimaisha kuliko wewe.
Wakati wewe unapambana mwenyewe hakuna anaekuja kukusaidia, hakuna anayejali kuhusu wewe, hata watu hawakupendi kwa sababu hauna thamani.
Unaona unavyowekeza kwa mwanamke, inaweza kuwa hatari na majuto kwako baadae.
Mwanamke ana bahati ya mapema kwenye maisha kuliko wewe, hivi na vile tayari amekushinda, dunia ni rahisi Sana kwake kuliko ilivyo kwako ndio maana unatakiwa kuyatazama zaidi malengo yako kuliko kumjali yeye.
Kama utashindwa kufanikiwa kimaisha utateseka sana mbele yake, hatimae atakuacha na kwenda kwa mwanaume mwingine ambaye hajashindwa kufanikiwa.
Sahau ujanja wote wa mahaba anaotumia kukuhakikishia kuwa "atakuwa nawe milele" ni uongo, matatizo yakizidi atakimbia.
Ni ukweli kwamba wanawake wengi watakuvumilia kwa sababu bado hawajaona mahali pengine palipo bora pa kwenda, nafasi bora ikionekana atakutelekeza na utasahau maneno yake yote aliyokuapia.
Ndio maana mwanaume hutakiwi kutumia muda mwingi kumfuatilia mwanamke huku na kule, mwanamke ni mharibufu sana wa maisha ya mwanaume asiyeishi kwa malengo, atakukausha na kukuacha.
Pambana kwa ajili yako, yachukulie maisha yako kwa umakini, ongeza ujuzi, dhihirisha nguvu ya uanaume iliyo ndani yako, weka kipaumbele cha kuwa mwanaume bora, wekeza kwenye ubongo wako kwa sababu ni kitu pekee ambacho hakitakuacha kwenye raha na tabu.
Kuwa mwenye Busara.
[emoji2398] Peter MwaiholaView attachment 3020931
[emoji849]Ngoja aje Joyce Kiria ausome huu uzi
Angel time 05:50 ndo nasoma hii comment ya dr haya land..Mwanamke Hana uwezo wa kumuangusha mwanaume isipokuwa mwanaume anajiangusha mwenyewe kupitia tamaa zake na kukosa ufahamu thabiti.
Aah ubatizo ujao unabidi kuitwa "Excellence brain " badala ya "Poor brain"Angel time 05:50 ndo nasoma hii comment ya dr haya land..
Kuna kitu hapa
⚖️Justice for Asimwe#Unamuona huyo mwanamke ulienae kwenye mahusiano, ana nafasi ya kufanikiwa kwa haraka kimaisha kuliko wewe.
Wakati wewe unapambana mwenyewe hakuna anaekuja kukusaidia, hakuna anayejali kuhusu wewe, hata watu hawakupendi kwa sababu hauna thamani. Unaona unavyowekeza kwa mwanamke, inaweza kuwa hatari na majuto kwako baadae.
Mwanamke ana bahati ya mapema kwenye maisha kuliko wewe, hivi na vile tayari amekushinda, dunia ni rahisi Sana kwake kuliko ilivyo kwako ndio maana unatakiwa kuyatazama zaidi malengo yako kuliko kumjali yeye.
Kama utashindwa kufanikiwa kimaisha utateseka sana mbele yake, hatimae atakuacha na kwenda kwa mwanaume mwingine ambaye hajashindwa kufanikiwa.
Sahau ujanja wote wa mahaba anaotumia kukuhakikishia kuwa "atakuwa nawe milele" ni uongo, matatizo yakizidi atakimbia.
Ni ukweli kwamba wanawake wengi watakuvumilia kwa sababu bado hawajaona mahali pengine palipo bora pa kwenda, nafasi bora ikionekana atakutelekeza na utasahau maneno yake yote aliyokuapia.
Ndio maana mwanaume hutakiwi kutumia muda mwingi kumfuatilia mwanamke huku na kule, mwanamke ni mharibufu sana wa maisha ya mwanaume asiyeishi kwa malengo, atakukausha na kukuacha.
Pambana kwa ajili yako, yachukulie maisha yako kwa umakini, ongeza ujuzi, dhihirisha nguvu ya uanaume iliyo ndani yako, weka kipaumbele cha kuwa mwanaume bora, wekeza kwenye ubongo wako kwa sababu ni kitu pekee ambacho hakitakuacha kwenye raha na tabu.
Kuwa mwenye Busara.
[emoji2398] Peter Mwaihola
View attachment 3020931
Nasubri huo ubatizo mkuu 😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Aah ubatizo ujao unabidi kuitwa "Excellence brain " badala ya "Poor brain"
[emoji120][emoji3539]Justice for Asimwe#
Joyce Kiria na yule mume wake. Mume wake kawa kama shoga fulani ivi full kujipodoa podoa, mwanaume kama yule ni wa kupiga makofi tuuuuNgoja aje Joyce Kiria ausome huu uzi
Ndio kuanguka uko weweMwanamke Hana uwezo wa kumuangusha mwanaume isipokuwa mwanaume anajiangusha mwenyewe kupitia tamaa zake na kukosa ufahamu thabiti.
Kichwa cha...... Au basiMbona mnawaogopa sana wanawake?? Si tumekubaliana nyie ni kichwa.
Nilitaka kuandika uzi kama huu.Unamuona huyo mwanamke ulienae kwenye mahusiano, ana nafasi ya kufanikiwa kwa haraka kimaisha kuliko wewe.
Wakati wewe unapambana mwenyewe hakuna anaekuja kukusaidia, hakuna anayejali kuhusu wewe, hata watu hawakupendi kwa sababu hauna thamani. Unaona unavyowekeza kwa mwanamke, inaweza kuwa hatari na majuto kwako baadae.
Mwanamke ana bahati ya mapema kwenye maisha kuliko wewe, hivi na vile tayari amekushinda, dunia ni rahisi Sana kwake kuliko ilivyo kwako ndio maana unatakiwa kuyatazama zaidi malengo yako kuliko kumjali yeye.
Kama utashindwa kufanikiwa kimaisha utateseka sana mbele yake, hatimae atakuacha na kwenda kwa mwanaume mwingine ambaye hajashindwa kufanikiwa.
Sahau ujanja wote wa mahaba anaotumia kukuhakikishia kuwa "atakuwa nawe milele" ni uongo, matatizo yakizidi atakimbia.
Ni ukweli kwamba wanawake wengi watakuvumilia kwa sababu bado hawajaona mahali pengine palipo bora pa kwenda, nafasi bora ikionekana atakutelekeza na utasahau maneno yake yote aliyokuapia.
Ndio maana mwanaume hutakiwi kutumia muda mwingi kumfuatilia mwanamke huku na kule, mwanamke ni mharibufu sana wa maisha ya mwanaume asiyeishi kwa malengo, atakukausha na kukuacha.
Pambana kwa ajili yako, yachukulie maisha yako kwa umakini, ongeza ujuzi, dhihirisha nguvu ya uanaume iliyo ndani yako, weka kipaumbele cha kuwa mwanaume bora, wekeza kwenye ubongo wako kwa sababu ni kitu pekee ambacho hakitakuacha kwenye raha na tabu.
Kuwa mwenye Busara.
[emoji2398] Peter Mwaihola
View attachment 3020931
HakikaNilitaka kuandika uzi kama huu.
Nimeshuhuia wanawake wamewajwngea Nyumba wazazi wao wakati washikaji bado hata Kiwanja hawana.
Wakati wewe unamhonga kodi unamlipia, wekend unamtoa out vocha unamtumia na nguo unamnunulia Yeye pesa zake anaweka Akiba anawafanyia wazazi wake mambo ya msingi.
Unakuja kishtuka too late.
[emoji2][emoji2]Nmekarbia kuungana na wale jamaa wa kataa ndoa