Kijana wa Kiume zingatia haya yatakusaidia

"Mwanamke anatumia hela zako kujipendezesha ili awavutie wanaume wenye hela zaidi yako"
 
⚖️Justice for Asimwe#
 
Nilitaka kuandika uzi kama huu.

Nimeshuhuia wanawake wamewajwngea Nyumba wazazi wao wakati washikaji bado hata Kiwanja hawana.

Wakati wewe unamhonga kodi unamlipia, wekend unamtoa out vocha unamtumia na nguo unamnunulia Yeye pesa zake anaweka Akiba anawafanyia wazazi wake mambo ya msingi.
Unakuja kishtuka too late.
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…