Kijana wa Marekani atafuta ndoto ya Kung Fu katika Mlima Wudang

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Juni 22, katika Mlima wa Wudang, mjini Shiyan, China, "kocha wa kigeni" Jack alichukua wanafunzi wake kufanya mazoezi ya Tai Chi. Jack anatoka Marekani na amejifunza Kung Fu katika Mlima Wudang kwa miaka 12.

Hivi sasa, anawajibika kufundisha Kung Fu kwa wanafunzi wa kigeni.


 
Hivi hawa wamarekani wanaokwendaga kuishi nchi za watu kwa miaka mingi sana huwa wanatolea wapi pesa za kujikimu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…