Kijana wa miaka 15 kagoma kujiunga na form one kisa kijiweni kwao kuna wa degree zaidi ya watano wanaendesha boda-boda mgine anauza matunda

Kijana wa miaka 15 kagoma kujiunga na form one kisa kijiweni kwao kuna wa degree zaidi ya watano wanaendesha boda-boda mgine anauza matunda

Ni kweli huyu mtoto aende shule ila jamii inao mzunguka inampa negative attitude towards shule ndo shida watu wanatanguliza ajira kiliko pesa.
Na kwa umri wake ni ngumu sana kumbadilisha, wengi waliowahi kukataa shule na kuacha walifanya hivyo kati ya darasa la 6 to form 3.
 
Na kwa umri wake ni ngumu sana kumbadilisha, wengi waliowahi kukataa shule na kuacha walifanya hivyo kati ya darasa la 6 to form 3.
Ni lazima asumbue ukimlazomisha shule mzazi ni memshauri ampeleke bweni private ya mbali, hapa mjini kkiwa shule ya ummah atasumbue hata soma.
 
Baba yake mzazi ambaye ni mfanya biashara
Mwambie amfungulie biashara na yeye shule anaenda kupoteza muda na pesa tu, elimu ni mradi pia ni biashara km biashara zingine unasoma unalipa pesa, darasa la 7 ana miaka 10 au 12 akifika miaka 10 mbele huyo ni mfanya biashara mzuri tu
 
Majority mnaombeza dogo mmeajiriwa.

Lakini kitaa Kuna digrii Hadi za medicine zinakula viroba hazina kazi.

Watoto WA Kanda ya ziwa maeneo ya uvuvi na uchimbaji madini ni ngumu sana kuwashauri wasome wakati wenye Hela na walio na maisha safi wameishia la Saba au hawakuhitim la Saba.

Waliosoma ndo chokambaya, kuanzia walioko kazini Hadi wastaafu wamechoka vibaya sana. Utamshawishije, msomi amepanga kwao anadaiwa miezi 6, anatumia dagaa deile wakati wao wasiosoma wanaishi kikurugenzi?

Niungane na aliyesema tuwapeleke watoto matembezi wakabadili mazingira.
 
Walau afike kidato cha nne, darasa la saba bado sana aisee. Mtaa utamsumbua hasa kwa kuonekana dogo. Lakini pia uwezo wa kujenga hoja huwa ni mdogo hasa kwa mambo mtambuka.

Ajitahidi afike form 4, ndio atoe hizo kauli.

Halafu huyo mzee wake nae ajitahidi watoto wake awaanzishe shule mapema, miaka hii miaka 15 ndio anamaliza form 4 ama yuko form 3.
 
Majority mnaombeza dogo mmeajiriwa.

Lakini kitaa Kuna digrii Hadi za medicine zinakula viroba hazina kazi.

Watoto WA Kanda ya ziwa maeneo ya uvuvi na uchimbaji madini ni ngumu sana kuwashauri wasome wakati wenye Hela na walio na maisha safi wameishia la Saba au hawakuhitim la Saba.

Waliosoma ndo chokambaya, kuanzia walioko kazini Hadi wastaafu wamechoka vibaya sana. Utamshawishije, msomi amepanga kwao anadaiwa miezi 6, anatumia dagaa deile wakati wao wasiosoma wanaishi kikurugenzi?

Niungane na aliyesema tuwapeleke watoto matembezi wakabadili mazingira.
Sasa si bora huko kwenye madini kuna ushawishi, yaani dogo asiende shule akaendeshe bodaboda kweli??
 
Chukua tape recorder zungumza nae tena kisha mrekodi kwa siri. Msikilize anachotaka kisha kubalianeni. Tunza hiyo sauti kisha mwache afanye atakavyo ila ndani ya mwaka mmoja (kwa mwezi mara moja) uwe unamuuliza kama yupo serious na maamuzi yake au alikuwa serious na maamuzi yake?! (Yaan jumla itakuwa mara 12) kama akiendelea na msimamo wake baada ya mwaka kausha.

Miaka ikishaenda sana na maisha yakimpiga sana akirudisha lawama lwa wazazi wake muiteni huyo mpumbavu na mashahidi wengine msikilizisheni hiyo sauti. Kisha mumwambie wafate machizi wenzio kule kijiweni kawape lawama
 
"Baba kama Pascal mtoto wa baba mkubwa amesoma degree ya uchumi anauza matunda barabarani na rafiki yake kasomea ualimu anaendesha boda boda kuna haja gani ya mimi kuenda kusoma wakati naweza kufanya hizo kazi hatakabla ya kujiunga na sekondari......"
hiyo ndo hoja aliitowa mtoto alio maliza darasa la saba mwaka jana na kufauli kwa Grade A. kwa Baba yake mzazi ambaye ni mfanya biashara.

Kuna wimbi la wapotoshaji kurubuni watoto wadogo kwa kubeza elimu yetu kwamba haina manifaa kusoma ni kupoteza mda kwasababu ya mifuano michache wanao taja kwa wale walio shindwa kupata ajira.

Jamani elimu ina umuhimu wake, nyie Boda boda acheni kupotosha watoto na vijana kwa kutaja mifuano ya uongo, mtu ambaye hajaenda shule hata kama wote wana endesha bajaji hawalingani, ambaye hajaenda shule akikosa ajira maisha yanakua magumu kwake mara mbili ya yule alioenda shule.

"Elimu ni zaidi ya ajira"
Hamnazo wote hicho sio kisa kama ww utakuwa vizuri ku mkichwa kisa ni hiki watoto Wengi wamekuwa viraza hata huyo dogo table ya 4 hajui kama unabisha muulize 4*7 na wanependa starehe sana kupita kias
 
Chukua tape recorder zungumza nae tena kisha mrekodi kwa siri. Msikilize anachotaka kisha kubalianeni. Tunza hiyo sauti kisha mwache afanye atakavyo ila ndani ya mwaka mmoja (kwa mwezi mara moja) uwe unamuuliza kama yupo serious na maamuzi yake au alikuwa serious na maamuzi yake?! (Yaan jumla itakuwa mara 12) kama akiendelea na msimamo wake baada ya mwaka kausha.

Miaka ikishaenda sana na maisha yakimpiga sana akirudisha lawama lwa wazazi wake muiteni huyo mpumbavu na mashahidi wengine msikilizisheni hiyo sauti. Kisha mumwambie wafate machizi wenzio kule kijiweni kawape lawama
Mpatuka Ulikimbia shule leo inakuuma sana?
 
Huyu mtoto ni mjinga kuliko watoto wote duniani na nahisi hata mkoa anaotoka ni upi.
Akili yake inafikiri mtu anasoma ili aajiriwe
Ajiulize kwanini Mo Dewji baba yake alimpeleka shule wakati ni tajiri na pia ajiulize kwanini Mo Dewji amepeleka watoto wake shule wakati ni tajiri.
Ajiulize kwanini Reginald Mengi watoto wake wote ni Wasomi wakati hela ipo
Ajiiulize Dangote ana elimu gani.
Ukiwa hata una hela nyingi lakini hujasoma utajiri wako unakuwa wa kifala sana.
Aende mkoa wa Kilimanjaro ataona kuna watoto wana usomi wa hali ya juu lakini wanachoma nyama choma na wameajiriwa mahoteli makubwa wanaongea na wazungu na wanajua lugha nyingi za kimataifa.
Abaki na msimamo wake ila baadae atakuja kujuta sana
Naomba mungu asinipe toto la hivi
Huu mfano sio mzuri kwa mtoto
 
Mkuu hongera kama unaishi uzunguni ila kwetu watoto wetu wanachangamana na watoto wa waendesha boda boda, huwezi kuepuka vijue vyao kwasababu wana sindikizana kuenda kwa baba zao
Mtoto kijiweni anafanya nini
 
Back
Top Bottom