Kijana wa miaka 17 akamatwa kwa udukuzi wa akaunti za watu maarufu Twitter

Kijana wa miaka 17 akamatwa kwa udukuzi wa akaunti za watu maarufu Twitter

Akili nyingi,huyo naamini watampika na kumpa kitengo.Huwa siwaamini sana wamarekani kwenye kumuhukumu mtu anayeijua internet.
 
Huku bongoland kijana wa miaka 17 anafikiria jinsi ya kula tunda kimasihara...
 
Hapa Bongo utakuta mtu ana phd ya ict lakini hata kuhack blogu tu hawezi.

Nenda kwa websites za serikali, zina muonekano mbaya hakuna mfano, nenda websites za vyuo vyetu ndio hazina maana kabisa lakini wana wataalamu wa ict wenye maksi na vyeti vizuri balaa.
Acha tuu na wanapangiana mishahara monono hatariii
 
Kwa Umri Huo Huku
Atakanatwa Anavuta bange tuu....
 
Back
Top Bottom