mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Bangi kivipi tena, wakati kijana katangaza nia???Bangi siyo nzuri
CCM tunamtakia kila la heri!Joto la uchaguzi mkuu likiwa linazidi kupanda kwa baadhi ya wanasiasa katika halamshauri ya manispaa ya Geita Elia John Yohana mwenye umri wa miaka 26 ambaye ni muhitimu Shahada ya kwanza ya Elimu ya sayansi ametangaza rasmi kugombea Ubunge Jimbo la Geita mjini kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 27 Bw. Elia amesema dhamira yake ni kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Geita Mjini huku akieleza kuwa Geita inatakiwa kukua kimaendeleo kutoka hapa ilipo ikiwemo uboreshaji wa miundombinu ya barabara katika kata 13 za manispaa ya Geita .
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha ameongeza kuwasihi wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi mkuu ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu huku akisistiza wananchi kuendelea kulinda amani ya nchi yetu ya Tanzania.
Hayupo seriousBangi kivipi tena, wakati kijana katangaza nia???
Kivipi?? Wakati katoa laki 5 kulipia formHayupo serious
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.Joto la uchaguzi mkuu likiwa linazidi kupanda kwa baadhi ya wanasiasa katika halamshauri ya manispaa ya Geita Elia John Yohana mwenye umri wa miaka 26 ambaye ni muhitimu Shahada ya kwanza ya Elimu ya sayansi ametangaza rasmi kugombea Ubunge Jimbo la Geita mjini kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 27 Bw. Elia amesema dhamira yake ni kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Geita Mjini huku akieleza kuwa Geita inatakiwa kukua kimaendeleo kutoka hapa ilipo ikiwemo uboreshaji wa miundombinu ya barabara katika kata 13 za manispaa ya Geita .
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha ameongeza kuwasihi wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi mkuu ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu huku akisistiza wananchi kuendelea kulinda amani ya nchi yetu ya Tanzania.
Amepewa na matapeli ya CCMKivipi?? Wakati katoa laki 5 kulipia form
Ndio zinakufanya unakesha humu kutwa nzima kutukana usiowataka .SHAMEBangi siyo nzuri
Unafikiri kila mtu ni kama mzee wako Mbowe?Hayupo serious
Hivi baba yako aliashaachaga?Amepewa na matapeli ya CCM
Nitakushughulikia haraka snHivi baba yako aliashaachaga?
Mbowe hagombeiUnafikiri kila mtu ni kama mzee wako Mbowe?
Ni aina ya michango ya kuchangia chama kupitia Fomu ,mpk wafike mwisho watakua wameingiza nyingiTsh. 500,000 yake italambwa chap
Hiyo ni dhana potofu Mkuu. Mwalimu aliwezesha nchi hii kupata uhuru akiwa kijana mdogo kabisa, uliwahi kufuatilia Rais wa France Emmanuel Macrone aliingia madarakani akiwa na umri gani?Hawa vijana wadogowadogo siasa wamezliua wapi kama si kutafuta sifa na kuwa wasindikizaji tu? Mtoto mdogo unakurupuka kutaka ubunge wakati wakongwe wa siasa wapo, sasa wamchague yeye waache wakongwe? Labda kama anajiweka kwenye ramani ya kisiasa kwa nyakati zijazo si mbaya, vinginevyo atumikie chama na serikali kwa ngazi zingine za chini apate uzoefu ndio apande juu na umri utakuwa umepanda
Hela sio rahisi kiasi hichi.Joto la uchaguzi mkuu likiwa linazidi kupanda kwa baadhi ya wanasiasa katika halamshauri ya manispaa ya Geita Elia John Yohana mwenye umri wa miaka 26 ambaye ni muhitimu Shahada ya kwanza ya Elimu ya sayansi ametangaza rasmi kugombea Ubunge Jimbo la Geita mjini kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM.