GE2025 Kijana wa miaka 26 atangaza nia ya kugombea Jimbo la Geita mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CCM tunamtakia kila la heri!
 
Kuna mmoja kajichanganya huko sijui Kilwa masoko eti ana upepo mkali wa watumia visungura na mjani ulionekana kitisho wala hata fomu alikuwa haja chukua bali kitendo cha kutangaza NIA tu ajali ikamlamba mapema,inasemekana kuwa dogo alikuwa ni Mwalimu wa shule flani ya secondary huko Kilwa.
 
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.
 
Hiyo ni dhana potofu Mkuu. Mwalimu aliwezesha nchi hii kupata uhuru akiwa kijana mdogo kabisa, uliwahi kufuatilia Rais wa France Emmanuel Macrone aliingia madarakani akiwa na umri gani?
Huenda ndiyo wakati wa kupata fikra mpya kwenye wigo wa siasa na vijana kushika nafasi za mamuzi
 
Hela sio rahisi kiasi hichi.

Wajumbe wanamcheki Tu Dogo anavyoropoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…