Pre GE2025 Kijana wa UVCCM anasema bila CCM Kariakoo isingekuwepo kama ilivyo sasa, kulikuwa na vibanda vya nyasi

Pre GE2025 Kijana wa UVCCM anasema bila CCM Kariakoo isingekuwepo kama ilivyo sasa, kulikuwa na vibanda vya nyasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Kwa hyo majengo yt ya kariako yanamilikiwa na CCM au cjamwelewa kijanaa wa kimara bonyokwa milenia ..🤔
 
Akizungumzia maendeleo yaliyoletwa na chama cha mapinduzi (CCM) tangu tupate uhuru, kada wa chama hiko - Antipas Pamba ambaye ni Katibu wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi (CCM) tawi la Milenia 3 kata ya Kimara, anasema Kariakoo zamani ilikuwa na vibanda vya nyasi tu.

Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

View attachment 3268824
IMG-20250309-WA0071.jpg
IMG-20250309-WA0072.jpg
IMG-20250309-WA0069.jpg
IMG-20250309-WA0070.jpg
 
Ungemwambia yaani ukikaa hata mwezi tu,tena Kenya,Uganda Rwanda Malawi Mozambique,halafu ukarudi Tanzania, yaani utaona jinsi akili za watu zinavyofanana na sehemu wanazoishi hii ni pamoja na Viongozi wao,inchi nzima imejaa mavibanda,mafundi welding,Mama ntilie,wachonga mbao,yaani ni uchafu,uchafu tu ndiyo tunachokijuwa
 
Sijui kwanini hawa vijana wa ccm wamekosa fokra nauwezo wa kufikiri!
Hivi wakati wanaongea akili zao wanakuwa wameziacha majumbani au hawanazo kabisa?
 
Akizungumzia maendeleo yaliyoletwa na chama cha mapinduzi (CCM) tangu tupate uhuru, kada wa chama hiko - Antipas Pamba ambaye ni Katibu wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi (CCM) tawi la Milenia 3 kata ya Kimara, anasema Kariakoo zamani ilikuwa na vibanda vya nyasi tu.

Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

View attachment 3268824
Yeye ni kijana hivyo vibanda vya nyasi Kariakoo ameviona wapi kama siyo porojo za vijiweni.
 
CCM imesaidia nini katika kuendeleza Kariakoo?! Nothing!

Mitaji ya Wakinga Wapemba Wahindi Wayemen nk.

Anataka kutulisha Propaganda za kijinga.
 
Sijaangalia video ni sauti ya mwanaume au mwanamke?Mwaka 90 nilikuwa nakumbukumbu sijawahi kuona nyumba ya nyasi kariako labda Bagamoyo.
 
Hawa wapumbavu wasiwe wanapewa majukwaa maana watataka kuhamishia upumbavu wao kwa watu wanaojitambua.
 
Baadhi ya wana CCM ufahamu wao tabu tupu۔ Wao kila kitu ni CCM pekee inaweza۔

Tanzania njema zaidi inawezekana hata bila CCM۔

Mnalisha watu ujinga، wana baki kuwa wajinga daima۔
 
Back
Top Bottom