The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Akizungumzia maendeleo yaliyoletwa na chama cha mapinduzi (CCM) tangu tupate uhuru, kada wa chama hiko - Antipas Pamba ambaye ni Katibu wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi (CCM) tawi la Milenia 3 kata ya Kimara, anasema Kariakoo zamani ilikuwa na vibanda vya nyasi tu.
Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3268824
Yeye ni kijana hivyo vibanda vya nyasi Kariakoo ameviona wapi kama siyo porojo za vijiweni.Akizungumzia maendeleo yaliyoletwa na chama cha mapinduzi (CCM) tangu tupate uhuru, kada wa chama hiko - Antipas Pamba ambaye ni Katibu wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi (CCM) tawi la Milenia 3 kata ya Kimara, anasema Kariakoo zamani ilikuwa na vibanda vya nyasi tu.
Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3268824
Kwa sababu walichelewa kuapata oxygen kwenye ubongo wakati wanazaliwa.Ili swali mpaka sasa sijajibiwa hapa JF.
Kwa nini ccm hawana akili