tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Chief Annex ameomba video hii imfikie Mkuu wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.
Amesema kwa sasa anapokea vitisho vya kutekwa na hata kuuawa, baada ya kuonekana akisifia Chama cha Mapinduzi (CCM) na kumsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa heshima na usalama wake, ameomba apewe walinzi wawili au watatu kumlinda hadi hali itakapotulia.
Soma pia: Jeshi la Polisi linachafuliwa na Green Guard wa CCM
“Sina kosa lolote, kosa langu ni kuipenda nchi yangu? na kumpongeza rais wangu? kwa kazi anazofanya,” Chief Annex
Je, mtu anastahili kutishiwa uhai kwa kutoa maoni ya amani na pongezi?