tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Upuuzi mtupuChief Annex ameomba video hii imfikie Mkuu wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.
Amesema kwa sasa anapokea vitisho vya kutekwa na hata kuuawa, baada ya kuonekana akisifia Chama cha Mapinduzi (CCM) na kumsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa heshima na usalama wake, ameomba apewe walinzi wawili au watatu kumlinda hadi hali itakapotulia.
Soma pia: Jeshi la Polisi linachafuliwa na Green Guard wa CCM
View attachment 3489382
βSina kosa lolote, kosa langu ni kuipenda nchi yangu? na kumpongeza rais wangu? kwa kazi anazofanya,β Chief Annex
Je, mtu anastahili kutishiwa uhai kwa kutoa maoni ya amani na pongezi?
Wanakera sanaHili Taifa lina vijana wase.nge sana...hivi kweli kima kama huyu ana mchango gani kwa taifa?...
Kwa hiyo yeye kazi yake ni kusifia tu..kwa maana nyingine kaja duniani kusifia wengine...aisee takataka kabisa
KikiChief Annex ameomba video hii imfikie Mkuu wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.
Amesema kwa sasa anapokea vitisho vya kutekwa na hata kuuawa, baada ya kuonekana akisifia Chama cha Mapinduzi (CCM) na kumsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa heshima na usalama wake, ameomba apewe walinzi wawili au watatu kumlinda hadi hali itakapotulia.
Soma pia: Jeshi la Polisi linachafuliwa na Green Guard wa CCM
View attachment 3489382
βSina kosa lolote, kosa langu ni kuipenda nchi yangu? na kumpongeza rais wangu? kwa kazi anazofanya,β Chief Annex
Je, mtu anastahili kutishiwa uhai kwa kutoa maoni ya amani na pongezi?
Inaonekana anajua masuala ya ulizinhadi kuwapangia wahusika idadi ya walinzi wa kumlinda kiasi cha kutaka apendelewe Yeye Binafsi kwa kupewa walinzi watatu!!! Kanuni za 2017 zinazoongoza UVCCM ( Ibara ya 18-a) Miiko ya uongozi: inazuia kijana wa Uvccm kutumia nafasi yake kujinufaisha binafsi. Huyu kakiuka kanuni hizo.Kwa heshima na usalama wake, ameomba apewe walinzi wawili au watatu kumlinda hadi hali itakapotulia.