Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😍😍Sina changamoto
I'm happy
Living decent life
Sina mke wala mchumba na wala sina mpango huo siihitaji
Rafiki mkubwa ni pombe
Ni muangaliaji mzuri wa movies hasa sci-fi fiction na fantasy or thriller movies msomaji nguli wa novels na vitabu mbalimbali
Ushaur kwa vijana wenzangu
Fanyeni vile moyo unapenda
Mm bado binti mbichiii (23 yrs). Huwa Kuna wanaume ambao kilometa zimesonga sana nawachuna sana. Halafu huwa nawaacha kinanja, ,,,kwa delaying technique". Maana wako desperate na kuoa, sasa mm huwa nawaambia mm bado sijaweka mambo yangu sawa. Wanakata tamaa maskini. Lkn nakuwa nishawaumiza sana financially.
Sawa, nimeingiza ktk faili kwa kumbukumbu zaidi### kijana wa zamani hahaaaaMdau mwenye umri ulioenda, Inawezekana uko mpweke huna mume/mke/rafiki kutokana na sababu mbalimbali iwe kufiwa, kuachwa au yoyote ile na ukijiangalia umri umeshasonga. Unahitaji kupata raha, faraja kama zamani, unahitaji kufurahia maisha kama wengine, jichanganye njoo hapa upate marafiki unaoweza kushare nao mambo ya kiutu uzima katika mapenzi au ktk nyanja nyingine za maisha na katika changamoto mbalimbali za umri na maisha kwa ujumla, Uzee is just a number, umri usikutishe, makunyanzi ya ngozi yasikubaishe bado unaweza kuwa na marafiki na ukashare nao mambo mbalimbali.
Nawaalika hapa tuweze kushare changamoto mbalimbali. Vijana pia mnaalikwa kutia joto joto humu na kujiandaa kwa siku zijazo.
Unaweza kushare ni changamoto gani umezipitia katika umri wako wa ujana, hata unazozipitia sasa na jinsi ya kukabiliana nazo hasa kwa watu wazima wanaohitaji faraja kutoka kwa wengine.
Unajua kuna kipindi kinafika unajikuta kama uko alone duniani, watoto wote wameshaanza kujitegemea, mwenza hayupo na umebaki home peke yako! Kuna hali ya upweke unaoumiza taratibu hujitokeza ndani mwako. Hata idadi ya marafiki hupungua sana. Lakini wewe bado ni binadamu unayehitaji kuendelea kufurahia maisha. Wakati mwingine unajikuta hata huwezi jichanganya kama zamani. Usikubali hali hii ikutawale peke yako maana itakuua, itakuumiza sana. Jichanganye, tafuta marafiki, fanya mazoezi, kula vizuri, toka tembea fanya utalii wa ndani n.k
Tupeane mikakati, karibuni
Mm bado binti mbichiii (23 yrs). Huwa Kuna wanaume ambao kilometa zimesonga sana nawachuna sana. Halafu huwa nawaacha kinanja, ,,,kwa delaying technique". Maana wako desperate na kuoa, sasa mm huwa nawaambia mm bado sijaweka mambo yangu sawa. Wanakata tamaa maskini. Lkn nakuwa nishawaumiza sana financially.
Hongera zako, Lakini use makini sana NA gunia mbili za mkaa Kwa sababu Kwa hizi tabia zako una-deserve kuwa mhusika mmoja wapo WA gunia mbili au zaidi za mkaa. Take care!Mm bado binti mbichiii (23 yrs). Huwa Kuna wanaume ambao kilometa zimesonga sana nawachuna sana. Halafu huwa nawaacha kinanja, ,,,kwa delaying technique". Maana wako desperate na kuoa, sasa mm huwa nawaambia mm bado sijaweka mambo yangu sawa. Wanakata tamaa maskini. Lkn nakuwa nishawaumiza sana financially.
MmmhBora kuwa peke yako.
Lakini wanakuwa wamebandua sana tu?Mm bado binti mbichiii (23 yrs). Huwa Kuna wanaume ambao kilometa zimesonga sana nawachuna sana. Halafu huwa nawaacha kinanja, ,,,kwa delaying technique". Maana wako desperate na kuoa, sasa mm huwa nawaambia mm bado sijaweka mambo yangu sawa. Wanakata tamaa maskini. Lkn nakuwa nishawaumiza sana financially.
Mm bado binti mbichiii (23 yrs). Huwa Kuna wanaume ambao kilometa zimesonga sana nawachuna sana. Halafu huwa nawaacha kinanja, ,,,kwa delaying technique". Maana wako desperate na kuoa, sasa mm huwa nawaambia mm bado sijaweka mambo yangu sawa. Wanakata tamaa maskini. Lkn nakuwa nishawaumiza sana financially.
Mmmh
Bora kuwa peke yako.
Sina changamoto