Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
23 best hkn ubichi hapo, ni shimo la panya, na ndala, umekomaa kuntu, nilidhani 15-20yrs hivi sawa lkn robo karne heee! usijidanganye!Mm bado binti mbichiii (23 yrs). Huwa Kuna wanaume ambao kilometa zimesonga sana nawachuna sana. Halafu huwa nawaacha kinanja, ,,,kwa delaying technique". Maana wako desperate na kuoa, sasa mm huwa nawaambia mm bado sijaweka mambo yangu sawa. Wanakata tamaa maskini. Lkn nakuwa nishawaumiza sana financially.