Kijana wa zamani, Kimbia Upweke life is short, fight to be happy

Sina changamoto

I'm happy

Living decent life

Sina mke wala mchumba na wala sina mpango huo siihitaji

Rafiki mkubwa ni pombe

Ni muangaliaji mzuri wa movies hasa sci-fi fiction na fantasy or thriller movies msomaji nguli wa novels na vitabu mbalimbali

Ushaur kwa vijana wenzangu
Fanyeni vile moyo unapenda
 
😍😍
 
Mm bado binti mbichiii (23 yrs). Huwa Kuna wanaume ambao kilometa zimesonga sana nawachuna sana. Halafu huwa nawaacha kinanja, ,,,kwa delaying technique". Maana wako desperate na kuoa, sasa mm huwa nawaambia mm bado sijaweka mambo yangu sawa. Wanakata tamaa maskini. Lkn nakuwa nishawaumiza sana financially.
 
We tangu lini ukaeleweka jinsia yako
 
Sawa, nimeingiza ktk faili kwa kumbukumbu zaidi### kijana wa zamani hahaaaa
 
Wewe ni mwanaume unaetamani kuwa mwanamke. Technically wewe ni ndugu yake James
 
Hongera zako, Lakini use makini sana NA gunia mbili za mkaa Kwa sababu Kwa hizi tabia zako una-deserve kuwa mhusika mmoja wapo WA gunia mbili au zaidi za mkaa. Take care!
 
Lakini wanakuwa wamebandua sana tu?
 

Ha ha haaa unawachuna kwa kuwa hawajielewi, wangejielewa wangekujua mapemaaa kama wewe ni mchunaji. Lakini muda unaenda utajutia kupoteza muda wako
 
Hongera zako, Lakini use makini sana NA gunia mbili za mkaa Kwa sababu Kwa hizi tabia zako una-deserve kuwa mhusika mmoja wapo WA gunia mbili au zaidi za mkaa. Take care!
#
Kabisa, ajiandae kwa lolote
 


Unajivunia rafiki Pombe??? kaa chini ufikirie mara mbili. Kama furaha yako ni baada ya kunywa na kulewa hiyo siyo furaha. Unailazimisha furaha kwa pombe!!!
 

Just wait miaka 8 mbele,
Kipind u single maza..
Hunasoko
Maisha nayo ndo ivyo ..
Na hapo ndo nawewe utachezewa mpaka papuchi itabadilika rangi na ramani...
Hebu heshimu hisia za watu...
Tafuta Decent one..ishi nae panga nae life...

But all in all do unachopenda but kisiwaumize wengine..

Over..
Take time..
Rest well

Love each one ..
Fight for ur life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…