Air craft Engineer,Aviation Engineering na Upilot vinalipa na kazi nje ya Tanzania ni nyingi sana. NIT Mabibo wana hizi kozi na pia Kijana yeyote wa Kitanzania anetaka soma kozi hizi 100% anaweza pata mkopo toka Bodi ya Mikopo. Tembelea website ya NIT na kujua requirements za Kozi so aanze omba kusoma katika mwaka huu wa Masomo.shukrani kwa ushauri locomotive course ni mambo ya train au nimeelewa tofauti, naweza pata contact ya mtu wa aircraft au pilot if any niwasiliane nae natanguliza shukrani in advance
USA ,Canada , UK na Kwengineko ajira zinapatikana bila ubaguzi wa Nchi unayotokaHello wanachama wenzangu habari za leo,
Kijana wangu anapenda kusomea Aircraft Eng au U pilot, kwa sasa sina hakika na suala la ajira kwa hapa nyumbani na kuna mtu ameniambia hata nje ya nchi ni ngumu kupata kazi kwa sababu za kiusalama, naomba kujuzwa je, ni kweli ajira ni tatizo hapa kwetu kwani naona serikali inapanua masuala ya anga mwenye ufahamu naomba tusaidiane kwani hizi course ni gharama sana.
Napenda kuwakilisha.
Hivi Hizo kwa awamu hizi kupata kazi kama hauna connection ni rahisi kweli lov?????
Unapata, kwa nini usipate...Hivi Hizo kwa awamu hizi kupata kazi kama hauna connection ni rahisi kweli lov?????
niliongea na DG mmoja anayepekeka watu nje masomoni aliniambia vijana wengi waliosomea hzo course wapi jobless kwn nje hawachukuwi kwa sababu ya usalama wa nchi I am tiredHivi Hizo kwa awamu hizi kupata kazi kama hauna connection ni rahisi kweli lov?????
Ahaa kumbe. Asante sana kwa mwongozo loUnapata, kwa nini usipate...
Dah ila ni kozi za pesa hawezi kosa pa kujishikiza na akapata mkwanja wa maana usikate tamaa mkuu!niliongea na DG mmoja anayepekeka watu nje masomoni aliniambia vijana wengi waliosomea hzo course wapi jobless kwn nje hawachukuwi kwa sababu ya usalama wa nchi I am tired
Aircraft engineering ni mechanical engineering kibongo bongo asome mechanical tu mambo yasiwe mengi atakuwa na uwanja mpana wa ajira.Hello wanachama wenzangu habari za leo,
Kijana wangu anapenda kusomea Aircraft Eng au U pilot, kwa sasa sina hakika na suala la ajira kwa hapa nyumbani na kuna mtu ameniambia hata nje ya nchi ni ngumu kupata kazi kwa sababu za kiusalama, naomba kujuzwa je, ni kweli ajira ni tatizo hapa kwetu kwani naona serikali inapanua masuala ya anga mwenye ufahamu naomba tusaidiane kwani hizi course ni gharama sana.
Napenda kuwakilisha.
Sometimes msiangalie mapenzi angalieni uhalisia. Kama anapenda engineering ningemshauri akasome hizi kozi kwa hii nchi yetu ya viwonderHello wanachama wenzangu habari za leo,