Kijana wangu anatafuta Mchumba...

Jamani jamani nimecheka mpk mbv zimeuma. Huyu jamaa kwani ni vp? Nyie wanaume wenzake jirani hebu mpeni mbinu basi. Looo unatuaibisha bn. Zege kihivyo au???
 
Ncherry1 nimekukosea nini mpendwa..
Mbona mim sina shida kabisa na barua ya kwqnza ya maombi lazima ije kwqko wewe
Hahaaaa... Uclie jaman utapata tena cku ukfklia tu unianze mm hata mchepuko wa mbal ntakubal!
 
Hahaaaa... Uclie jaman utapata tena cku ukfklia tu unianze mm hata mchepuko wa mbal ntakubal!
Yeeeleuuwi...
Taja s l p ebu nianze kuchora barua na sanduka lako la posta kabisa.
 
Duh! Nilichelewa kuiona hii, kama bado hujapata niko hapa,
 
Jamani jamani nimecheka mpk mbv zimeuma. Huyu jamaa kwani ni vp? Nyie wanaume wenzake jirani hebu mpeni mbinu basi. Looo unatuaibisha bn. Zege kihivyo au???
Muoneee bhac kama vp mtunuku kbs
 
Hehee...,acha kuchanganya watu kama we ndo unatafuta mchumba funguka sio kujichanganya kwa kuvaa uhusika wa watu 2.
 
Miss you more sweetie, ndio ukala pasaka bila kunikaribisha?
jamaan hivi pasaka imeshapita
me najua n next week [emoji134] anko magu alegeze kidogo mpk nimesahau

naiona mwezi wa 7 huo narudi kijijini kwetu
 
jamaan hivi pasaka imeshapita
me najua n next week [emoji134] anko magu alegeze kidogo mpk nimesahau

naiona mwezi wa 7 huo narudi kijijini kwetu

Mie emmyta ndio kanikumbusha kuwa ishapita hata sikuwa na habari.
 
Hahahaaa! Jamani nyieee.

Ila ndio hakuna jinsi inabidi kuizowea hali mana sio kwa usawa kuwa mgumu namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…