Habari,
Ni wiki moja sasa natafakari baada ya kijana wangu niliyemwamini mno anijibu vibaya usiku nilipomuita sebuleni kumpa onyo ache uhuni na uasherati.
Nimelia usiku kucha na bado hajaniomba msamaha mpaka muda huu.
Umri wake ni miaka 26, nafikiria kumfukuza kwangu.