Kijana wangu wa kiume amenivunjia heshima

agonalile

Member
Joined
Jan 29, 2023
Posts
50
Reaction score
228
Habari,

Ni wiki moja sasa natafakari baada ya kijana wangu niliyemwamini mno anijibu vibaya usiku nilipomuita sebuleni kumpa onyo ache uhuni na uasherati.

Nimelia usiku kucha na bado hajaniomba msamaha mpaka muda huu.

Umri wake ni miaka 26, nafikiria kumfukuza kwangu.
 
UALIM PASIPO ELIMU (UPE)
Andika Vizuri Lugha Tamu Na Adhim Ya Kiswahili
 
UALIM PASIPO ELIMU (UPE)
Andika Vizuri Lugha Tamu Na Adhim Ya Kiswahili
Wewe ndio hujitambui . Na punguza kujifanya unajua.

Humu ndani kuna mrundikano wa kila aina ya watu wengine wamejifunza kusoma na kuandika wakiwa na miaka 50 hadi 60 na zaidi .

Na kibaya zaidi simu wameanza kuzishika wakiwa na umri huo


So usitake kuwafananisha na nyie walio walipia ada na kufanya mjue kusoma na kuandika mkiwa na miaka 6.


Acha ujinga mkuu wa kukashifu watu
 
We ni M_Burundi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…