Kijana wangu wa kiume amenivunjia heshima

Itakua unafuatilia sana
 
Dahhh!huyo mtoto wako au wakufikia??
 
Sasa huu uandishi,hii lugha unaandika kutokea Lubumbashi au Kinshasa??? Andika tu Lingara wata translate kuna jirani zako warundi wapo hapa wakimshabikia Magufuli.
 
Pole mama nafikiri kuna vitu hukuvifanyia kazi mapema ndio yamefikia hapo yalipo wazazi wengi wanadekeza sn watoto wao bilakuangalia hatima yao mbeleni,jaribu kufanya yafuatayo
1.tafuta mtu mzima wamakamo aongee nae km ww hakusikilizi anaweza kua mtu wa dini au mtu mnaemheshimu hapo nyumbani
2.km nimlevi mdhibiiti kwenye kipato chake kiburi kinaanzia hapo
3.ukishindwa msweke ndani,wamuweke ijumaa nakumtoa j3 ikiwezekana hatakulipia hili suala fanya hivyo
4.km yote huwezi fanya mfukuze nyumbani akaonje joto ya kodi ya mezani na bili za nyumba ya kupanga
 
Mwache aendelee kukaa mpaka afate wazo la kukuwekea sumu au kukuchoma kisu😆
 
"Abalini.ni taklibani wikimoja sasa natafakali bada yakijana wagu .niriyemwamini mno
aminijibu vibayajana usiku niripomwita.sebuleni kumuwonya ache uwuni na
washelati.

Nimeri ya usiku kuchana bado ajanihomba musamaha pakamda huu.umli wake ni myaka 26 nafikiliya nimfuguze nyumbonu kwangu."


Hii ingeachwa hivo hivo tuu bana. Tuhangaike nalo kulisoma🤣🤣🤣
 
Pole mzee mwenzangu,watoto ni janga.Ila kosa ni lako,mzee wa miaka 26 wa nini ndani mwako,mfukuze akajitegemee,unamlemaza.Eti unalia kaa!Acha uchuro,mtoto anakuliza!!Fukuza kabisa huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…