Pre GE2025 Kijana wewe ni Taifa la leo, kagombeeni nafasi katika chaguzi zinazokuja, muwe na nguvu ya maamuzi

Pre GE2025 Kijana wewe ni Taifa la leo, kagombeeni nafasi katika chaguzi zinazokuja, muwe na nguvu ya maamuzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tunapoelekea uchaguzi mdogo wa serikali na pia hata ule mkubwa kama kijana wa kitanzania unaona nafasi yako ipo katika siasa na changamoto zipi ambazo unaona utapitia au ni kitu gani ambacho kinakukatiza kutoshiriki katika siasa na ushawishi wako katika jamii upo kwa kiwango gani
 
Back
Top Bottom