Kijasho chembamba

Kijasho chembamba

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
3,068
Reaction score
277
kilimtoka kocha wa timu ya Real Madrid ya Hispania pale alipoalikwa kwenye kipindi cha televisheni na kufanyiwa manjonjo ya kila namna na mrembo aliyekuwa amevaa nusu uchi.
Kocha wa timu ya Real Madrid ya Hispania, Jose Mourinho alikumbwa na wakati mgumu asijue nini cha kufanya wakati mrembo mmoja wa nchini Hispania alipokuwa akimchezea dansi kocha huyo akiwa amevaa nusu uchi.

Mourinho alikuwa ni mgeni rasmi kwenye shoo moja ya luninga nchini Hispania wakati bila kutarajia alipoletewa mrembo ambaye alimfanyia Mourinho dansi la kumpima imani yake.

Mourinho alibaki akicheka cheka tu huku akishindwa kuangalia vituko vilivyokuwa vikifanywa na mwanamke huyo.


5559390.jpg
 
Ahahah! I wish ningeangalia hiko kipindi.
Morinho anajidai ni mtu wa misimamo sana.
 
Kaaaaziiiiiiiiiiiiiii kweli kweliiiiiiiiiiii...................................
 
Back
Top Bottom