Kijasusi tunajifunza nini kuchapwa kofi kwa Rais wa Ufaransa?

Kijasusi tunajifunza nini kuchapwa kofi kwa Rais wa Ufaransa?

ni somo kwa viongozi wengine kuwa, jishughulisheni kutatua kero za wananchi badala ya kupiga blanlaa.
tujitume kamwe tusilale wala tusizembee, ukiaminiwa aminika
 
ashukuru alilambwa kibao tu mwenzake Berlusconi wa Italy alipasuliwa na jiwe ... kwa wenzatu kula kichapo ni sekunde tu hata kama una ulinzi namna gani

View attachment 1813371
mwenzake george bush junior alikoswa-koswa na kiatu.

ashukuru Mungu kidogo alikuwa ana maarifa ya kimedani, akakihepa. vinginevyo kingempata.
giphy.gif
 
Ila wenzetu wapo busy jamani
Rais anasalimiwa na watu wachache hivyo?

ingekuwa TZ hapo umati wa watu kibao
Muda ndo uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa na nchi zinazopenda maendeleo ya kweli kwa kutumia nguvu zote nchini zilizopo wanatengeneza mifumo ya muda kutumika vizuri.
 
Ingekua bongo umempiga kofi mwenda zake zile njemba zinakutafuna hapo hapo hasa yule bonge muda wote anasinzia sinzia tu
 
Cheki the edited post.
Wengine tumekulia huko.
Usilete bla bla.
Tatizo sio kukulia tatizo ni kuja na facts checking, umeandika orodha ya ma-bregedia waliopigana vita ya kagera well and good, ila ajasema nadharia yako ni ipi kwenye shambulizi la raisi

Kama ulitaka kukosoa list ya ma-bregedia umekosoa so whats next...?

Naweza sema umetaka tujue na wewe umekulia uko, au ni roho mbaya tu umeamuwa ku-comment utopolo
 
Kwa hiyo hapo tatizo kubwa ni ajira ndiyo imesababisha kulambwa kibao
Alipigwa kofi sababu vijana wengi hawana ajira alafu yeye anakimbia kimbia hovyo hovyo badala ya kutatua tatizo la msingi la ajira. Wenzetu siyo wanafiki wakiwa na hasira unalambwa kibao kufikisha ujumbe.
 
Tatizo sio kukulia tatizo ni kuja na facts checking, umeandika orodha ya ma-bregedia waliopigana vita ya kagera well and good, ila ajasema nadharia yako ni ipi kwenye shambulizi la raisi

Kama ulitaka kukosoa list ya ma-bregedia umekosoa so whats next...?

Naweza sema umetaka tujue na wewe umekulia uko, au ni roho mbaya tu umeamuwa ku-comment utopolo
Una katatizo fulani ambako kanakuzuia kupima mambo kama thinker.
Nikupe mfano ambao utaelewa kirahisi.
Chumvi ni kiungo kidogo sana.
Zidisha kidogo tu na chakula hakiliki!
Kwamba tulikuwepo miaka hiyo sets authority over facts ambayo wewe huna.
Unaelewa?
 
mwenzake george bush junior alikoswa-koswa na kiatu.

ashukuru Mungu kidogo alikuwa ana maarifa ya kimedani, akakihepa. vinginevyo kingempata.
giphy.gif
Hv George W Bush alipigwa kiatu mara mbili!!??
angalia picha kwa makini....
mara ya kwanza alikwepa.....!
mara ya pili alikwepa pia huku mwenzake akimsaidia
 
Huyu Yeriko Nyerere ni kanjanja tu! Hana anachojua kuhusu ulinzi ni utumbo tu anawauzia wajinga! Halafu kitabu kutoka elfu 80 hadi elfu 20 ni promotion gani hiyo kama siyo njaa!
Hivyo vitabu kama havina wasomaji vichome moto! Huwezi kulazimisha watu kusoma utumbo wako!
Umeeleza ujinga sana kuhusu ulinzi wa Macron , hakuna Security Agent anayeweza kujua mawazo ya mtu in advance!
Eti Rais azungukwe na walinzi sita mbele na nyuma! Unachambua ulinzi wa kishamba wa Rais Magufuli!
Hapo kwa huyo Mama aliyemzaba Macron ilipaswa kuwepo "MTU" kujua mapema mawazo yao kabla Macron hajaenda hapo ! Seeing your enemy without being seen" by Sun Tzu!
 
Back
Top Bottom