Kijasusi tunajifunza nini kuchapwa kofi kwa Rais wa Ufaransa?

Hv George W Bush alipigwa kiatu mara mbili!!??
angalia picha kwa makini....
mara ya kwanza alikwepa.....!
mara ya pili alikwepa pia huku mwenzake akimsaidia
Ni Mara mbili angalia baada ya kurusha cha kwanza jamaa akainama kuchukua kingine akakirusha pia
 
 
Bora hata huyo anakimbia hovyo hovyo, Tanzania tulikuwa na mduanzi mmoja yeye badala ya kukimbia hovyo alikuwa anakula mahindi ya kuchoma hovyo hovyo na kutukana mama zetu hovyo hovyo eti wanataka kupanuliwa wapi, amekufa na mavi yake sasa hivi
The same damn way wazazi wako walivokufa? Ama wewe ukifa kinyesi chako kita dissolve eee
 
The same damn way wazazi wako walivokufa? Ama wewe ukifa kinyesi chako kita dissolve eee
Tukikuwa na rais wa hovyo muwaza ngono, anakashifu wanawake hovyo hovyo, hana kauli za staha, bora alivyoenda kaburini na mavi yake kama alivyomjibu yule kijana pale Dsm kwamba abaki na mavi yake.
Meko wa kuzimu
 
🥴🥴🥴🥴
 
Najaribu kufikiria kwa kina kwa mfano hapa bongo kama jamaa angemchapa kofi Jiwe..... !! namna ambayo ingekuwa.
 
Hakuna
Hakuna ujasusi wowote hapo.Mbona Mwinyi alichapwa Kofi?Nao pia ni ujasusi?Nafikiri tuongee ukweli zaid.
 

Naona unateseka kwa kuwa ulipigwa, kaa kwa kutulia na wengine wapigwe hizo twenti twenti.
 
Yericko anaishi kitapeli from the beginning.

Kwanza kutumia tu Surname "inayouza" na kuachana na jina la baba yake ilikuwa ni stage mojawapo.

Kuna kipindi alisajiri majina ya makampuni 4 BRELA halafu akayaunganisha akatengeneza kampuni moja GROUP bila kuwa na ofisi hata moja. Halafu anajiita Mwenyekiti Mtendaji wa YECCO GROUP 🤣

Yaani Mtu ambaye hajawahi kuwa hata mpelelezi wa mgambo, eti leo anachambua masuala ya ujasusi🤣

Nchi hii haijawahi kuishiwa vituko.

Anyway, bora mkono uende kinywani.
 
Nje ya mada kidogo...

Wewe (YERICO NYERERE) ni nani?

Maana mambo mengi ya kijasusi yakitajwa lazima kugusiwe uchambuzi wako na vitabu vyako. Kitu kidogo tu mtu badala akupe majibu utasikia kasome kitabu cha Yerico au cha fulani ameelezea vyema sana hiyo kitu

Halafu mbona kama umetuleta kisha tulivyokuja ukatupeleka mojakwamoja kwenye vitabu vyako, je ilikuwa ndo lengo?
 
Huyu jamaa alikuwa anajifanya kauzu lakin alikuwa muoga balaa! Anashindwa hata na mama yetu.
 
Unaumia huku hata bahati tu ya kushika mkono wa Yericko kwa salamu tu hautabahatika leo ama ahera,

Pole ndugu!
 
Unaumia huku hata bahati tu ya kushika mkono wa Yericko kwa salamu tu hautabahatika leo ama ahera,

Pole ndugu!
Hehehehe🤣

Mkuu wewe ni mzee wa Ndumu unaeamini kwenye mizimu.

Hiyo akhera unayozungumzia ni ipi tena ?
 
Yericko Nyerere utamfahamu kupitia vitabu, Ujasusi, Mtu, Madaraka na Strategy
 
umeona kule nyuma walinzi/askari walivyokimbia nae??
 
Ndio tatizo letu watanzania,
mtu anajua kitu alafu anakaa kimya, akiona mwenzake amesema ndio anaanza kumkosoa na kumponda, na wala hasemi inavyotakiwa kuwa..
majitu yanaudhi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…