Mzaramo/Mkwere aliyechangamka...Wakuu
Akiwa anazungumza leo kwenye kampeni za CCM Kikwete amesema kuwa wakati nchi nyingine za Afrika zile hela za Uviko zilikuwa zinaenda kwa wafanyabiashara Bongo Samia alipeleka hizo hela kwenye miradi ya maendeleo
Ikumbukwe kuwa siku chache nyuma Polepole alisema kuwa kuna ubadhirifu mkubwa sana ulitokea baada ya hizo hela za Uviko kupewa Serikali ya Tanzania
Haelewi anasubir ngoma tuMzaramo/Mkwere aliyechangamka...
Haya ya urais ni kuwatwisha mzigo. Wao expertise yao, jadi yao ni ngoma/mdundiko na kuto,./,.,=@#$%^&* mba......haya wanayajua sana teka kwa ustadi mkubwa. Siyo mambo yanayohitaji higher mental power rasoning!Haelewi anasubir ngoma tu
Wakuu
Akiwa anazungumza leo kwenye kampeni za CCM Kikwete amesema kuwa wakati nchi nyingine za Afrika zile hela za Uviko zilikuwa zinaenda kwa wafanyabiashara Bongo Samia alipeleka hizo hela kwenye miradi ya maendeleo
Ikumbukwe kuwa siku chache nyuma Polepole alisema kuwa kuna ubadhirifu mkubwa sana ulitokea baada ya hizo hela za Uviko kupewa Serikali ya Tanzania
Kwani fedha kwenda kwenye miradi ya maendeleo ndio kunazuia ubadhirifu?Wakuu
Akiwa anazungumza leo kwenye kampeni za CCM Kikwete amesema kuwa wakati nchi nyingine za Afrika zile hela za Uviko zilikuwa zinaenda kwa wafanyabiashara Bongo Samia alipeleka hizo hela kwenye miradi ya maendeleo
Ikumbukwe kuwa siku chache nyuma Polepole alisema kuwa kuna ubadhirifu mkubwa sana ulitokea baada ya hizo hela za Uviko kupewa Serikali ya Tanzania
Wakuu
Akiwa anazungumza leo kwenye kampeni za CCM Kikwete amesema kuwa wakati nchi nyingine za Afrika zile hela za Uviko zilikuwa zinaenda kwa wafanyabiashara Bongo Samia alipeleka hizo hela kwenye miradi ya maendeleo
Ikumbukwe kuwa siku chache nyuma Polepole alisema kuwa kuna ubadhirifu mkubwa sana ulitokea baada ya hizo hela za Uviko kupewa Serikali ya Tanzania
Sawa shule zilijengwa lakini majengo ni substandard yameanza kubomoka baada ya muda mfupi na gharama ya ujenzi huo haulingani na majengo yenyewe!!Watanzania tumeshuhudia na ushaidi upo zile pesa zilijenga madarasa tena ya kisasa Tanzania nzima, zimejenga shule mpya za kisasa sana zinaitwa shule za Samia. We ni kipofu? Huzioni huko kwenu?
Kwani huyu uncle wangu si aliulizwa sababu ya nchi kuwa masikini wakati Ina maliasili kibao. Akajibu hajui sababu.Sijui kama hata alimuelewa huyo polepole huyu kanjanja mwanamtanfao.
Hoja ya HP ni kwamba kulikuwa na double budgeting !
Alisoma uchumi kweli huyu kikwete???